kalulukalunde
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,056
- 1,083
Hawa jamaa ni vibaka tu hawana lolote zaidi ya kutunyonya.Niliwahi kusoma humu kuwa walikua wanakwepa kodi
Mahakama ya Rufaa: Barrick Gold,ACACIA Mining wana hatia kukwepa kodi
Hawa jamaa ni vibaka tu hawana lolote zaidi ya kutunyonya.Niliwahi kusoma humu kuwa walikua wanakwepa kodi
Mahakama ya Rufaa: Barrick Gold,ACACIA Mining wana hatia kukwepa kodi
Ni kweli tusubiri nao watasema nn Kisha tuone hukumu inasemaje? Hukumu ikiwa tunalipwa basi hapo ni ruksa kushangilia.Sisi watanzania wepesi sana kwenye hoja za upande mmoja. Tuwe na uvumilivu wa kusikiliza na upande wa pili.
Mikataba kupitiwa upya maana yake uwabembeleze Wao au kuna Ushauri wa Lisu wautumie sema ni hatari sana make na wawekezaji wengine hata wa viwanda vya mwendo kasi wanaweza kula konaKwenye hiyo report nimesikia tu tume iki recommend what to be done kwa our staff lakini hawajasema chochote kuusiana na makampuni ya madini kwamba wanalipa au mikataba inapotiwa upya yaani sijawapata wanatume
Issue sio woga, issue ni kuwa makini kwenye masula yanayohusu mikataba. Mikataba ukiifrustrate tu. Basi madhara yake huwa makubwa sana. Jana tu. Baada ya dr. Presida kutangazia dunia taarifa ya hiyo report, share za acacia zimeshuka kinoma kwenye Soko la hisa la London. Nani atakayekuja kuwa- compesate ikija gundulika kuwa tuliyotangazia dunia hayakuwa sahii? Au ndio yatakuwa Yale ya zile samaki? Tunesema na tunaendela kusema, tusipojali utawala wa Sheria kufanya mambo ya MSINGI kama hayo, tunajitafutia umaskini wa bure. Na nikuta kutumia fedha za walipakodi katika kulipia fidia zisizo za msingi
Mkuu umeongea ukweli mtupu, Hii ushangiliaji ipo siku tutarudi humu kulaumu hata Tume yenyewe.Kwahiyo wewe unarelay kwa nani...haya mambo hayahitaji ukurupukaji...hii mikataba imekuwepo for over 15 years ,mh.alihitaji muda wa kutosha kujilidhisha..kunamahali nmesema,mh.raising kabla ya kusomewa huyo report kwa mbwebwe zote alitakiwa kujifungia chumbani na kuichambua,aombe mikataba ya hao mabwana ajilidhishe,ofcoz today his excellence has made almost everytanzanian happy but I ensure you the consequence of this happiness will be upon our heads sooner or later!!
Mkuu kuna mahakama ya ushuhurishi ila sio ICC, ICC ni criminal court tu. Haidili na biashara mkuu. Hii ya mambo ya biashara ni tofauti kabisaKesi ya madai ya kiuwekezaji zinaenda wapi? au unadhani zinaenda kisutu au mahakama kuu pale sokoine? Kweli usililijua litakusumbua zumbukuku
Yes,ninajua!Mchanga unaosafirishwa huingizia kampuni Trilion 1-1.8 kwa mwaka!Kwa hesabu za magufuli ni kuwa ni Trilion 18 kwa mwaka!Kama ndivyo basi mgodi huo unatakiwa uwe the largest gold mine in the world ukitumia takwimu,kitu ambacho sio kweli!Hivi, una uhakika au unabahatisha!?
Unajua kweli unachokiandika!?
Kwa mfano, Polisi waje kukukagua kwako wakati wewe haupo wala kiongozi yeyote yule wa eneo lako na ukaguzi huo unafanywa bila ya searching warrant halafu ghafla wanasema ndani kwako wamekuta maiti ya mtu, silaha za moto, na vitu vingine Vinci visivyo halali. Hata kama ni kweli ila kwa jinsi zoezi likivyoendeshwa kamwe hauwezi kuingia hatiani kwa ushahidi uliopatikana kwa namna hii.Ili iweje?yaani tuialike mijizi kwenye uchunguzi wetu?no hell no!tutakutana nao mahakamani tu!
Akili zetu ndo hapo zimefikia mkuu tutafanyaje?Ujinga ni pale mnapotoa povu kwenye michanga wakati mali halisi mnapata 4%.
[HASHTAG]#ToHellTz[/HASHTAG]
Nafikiri ni 4% tu haijalishi mwekezaji amezalisha kwa kiasi gani. Maana ht bungeni huwa naona inalalamikiwa sana, anyway ngoja waje wataalam hapa watafafanua vzr.Inawezekana kabisa ACACIA walidanganya kwenye kiasi wanachosafirisha na wawezekezaji wametudanganya kwa muda mrefu, kwa hilo hatua stahiki zichukuliwe. Nimejiuliza maswali yafuatayo.
1. Mchanga ni mali ya nani? mchimbaji anapaswa kulipa 4% tu ya mauzo!
2. Je kilichotajwa jana hiyo ndo thamani baada ya extraction?, baada ya kutoa gharama zote? na kama ni kweli je hizo zote ni pesa za serikali au tunapaswa kulipwa kiasi tukichokubaliana kwenye mkataba? ambacho nadhani ni 4% tu?.
3. Mikataba inasemaje? tunapaswa kulipwa kwa madini yenye commercial value tu, na yale ambayo thamani yake ni ndogo kuliko gharama ya extraction nayo tunayadai?
Ni mawazo na fikra zangu tu. Tuwe makini ili isije ikatusumbua mbele ya safari. Kila la kheri JPM na Mungu ibariki Tanzania.
Sisi watanzania wepesi sana kwenye hoja za upande mmoja. Tuwe na uvumilivu wa kusikiliza na upande wa pili.
Kama serikali ingekuwa imekurupuka, isingechaguliwa tume kufanya uchunguzi, au ungechaguliwa ww kwenye tume. Wale wataalam, au mlitaka wachaguliwe wazungu kweny tume ndio mgejua serikali haijakurupuka.Mie sina cha kubisha mkuu ni muda tu ndio utakaoamua ila tusije sikia mnalaumu siku mkipigwa fine huko ICSID kma IPTL na DOWANS maana serikali kwa kukurupuka hamjambo.
Tulilia humu escrow mafisadi mafisadi ooh ila mpaka leo wanalipwa mabilion kila mwezi iwe wamezalisha umeme or not!!!!! Tukifika huko nisiskie kelele tena upande wa pili
Mawazo yako hayo. Wale sio wajinga kwa kiwango tunacho zania mkuu, Hawawezi kuwa Mafala kwa kiwango hicho
Inawezekana kabisa ACACIA walidanganya kwenye kiasi wanachosafirisha na wawezekezaji wametudanganya kwa muda mrefu, kwa hilo hatua stahiki zichukuliwe. Nimejiuliza maswali yafuatayo.
1. Mchanga ni mali ya nani? mchimbaji anapaswa kulipa 4% tu ya mauzo!
2. Je kilichotajwa jana hiyo ndo thamani baada ya extraction?, baada ya kutoa gharama zote? na kama ni kweli je hizo zote ni pesa za serikali au tunapaswa kulipwa kiasi tukichokubaliana kwenye mkataba? ambacho nadhani ni 4% tu?.
3. Mikataba inasemaje? tunapaswa kulipwa kwa madini yenye commercial value tu, na yale ambayo thamani yake ni ndogo kuliko gharama ya extraction nayo tunayadai?
Ni mawazo na fikra zangu tu. Tuwe makini ili isije ikatusumbua mbele ya safari. Kila la kheri JPM na Mungu ibariki Tanzania.
Auditing Firm Zote ikiwemo PWC wanachokifanya wanaofanya Statutory Auditing kwa hiyo we cannot rely na hizo auditing Reports.