Recent content by stata mzuka

  1. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Walimu wenzangu: Hivi ukiwa mwalimu ni lazima uvae manguo yasiyoeleweka, oversize na malonya?

    Sasa Sec ndari watamuelewa kweli au watamuomba uchi mwal mwenyewe?
  2. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kumroga aliye Senegal, amenitapeli TZS 5 Millioni

    Hujafika Chuo nakataa huwezi kuwa na akili hii
  3. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Walimu wenzangu: Hivi ukiwa mwalimu ni lazima uvae manguo yasiyoeleweka, oversize na malonya?

    Mfano wa Nguo kuonesha Magoti? Tatizo walimu mnataka kuvaa kama mlivyokua Colleges kitu ambacho kwa kazi zenu haitakiwi. Akivaa Nguo ndefu na za kujifunika anaonekana Mshamba.
  4. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Walimu wenzangu: Hivi ukiwa mwalimu ni lazima uvae manguo yasiyoeleweka, oversize na malonya?

    Kwahiyo hizo Gauni ndio za Heshima? Labda kama unafundisha Primary
  5. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Walimu wenzangu: Hivi ukiwa mwalimu ni lazima uvae manguo yasiyoeleweka, oversize na malonya?

    Walimu wana uvulivu na mengi hata Mavazi.
  6. stata mzuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akikutaka ni rahisi sana kukupata

    Mkuu naona umepelekwa kutahiriwa bure bila Ganzi kiasi cha kusema M/mke yeyote yule.
  7. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi mpya wa Escrow wakamilika, vigogo matumbo joto

    Hili litaisha kama mengine tu. Unaanzaje kumkamata mtu aliyepeleka kule hela kwenye Sandarusi?
  8. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

    Yaani kama Taarifa ya Habari inaanza na Utabiri wa Hali ya Hewa.
  9. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

    Ufunge PM uwe mzuri basi,,,sio Bibi huyu hapa. NB (Sijawahi ingia PM kwa mtu kutongoza)
  10. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Manji kuwasili polisi nje ya utaratibu ni ukaidi; ajiandae kulala sero

    Sasa wewe utajilinganisha na Manji?
  11. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa mpaka wakati huu Millardayo na Clouds Instagram hawajatangaza kukamatwa kwa Lissu

    Acha uongo au hujasikiliza, Ayo katangaza ktk Amplifaya leo
  12. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Abdullah Kassim Hanga: Kutoka Kiongozi hadi adui wa mapinduzi ya Zanzibar

    Nyerere tamaa ya Muungano akawatoa kafara kwa kuli Karume...wapate adhabu zao stahiki huko walipo
  13. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla ashambuliwa Twitter kwa kuwadharau wenye Digrii na wapo mtaani

    Kabombe > Ka[emoji481]
  14. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla ashambuliwa Twitter kwa kuwadharau wenye Digrii na wapo mtaani

    Hawezi kukujibu hili
  15. stata mzuka

    JamiiForums Tanzania Yanga kutoandika majina kwenye jezi

    We Tomaso kweli, kichuya ana Goal ngap?
Back
Top Bottom