Nimeshangaa mpaka wakati huu Millardayo na Clouds Instagram hawajatangaza kukamatwa kwa Lissu

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Hivyi vyombo nashindwa kivielezea mpaka sasa wanafanya kazi chini ya nani....Kwani ckuzote wamekuwa wazee wa breaking news
 
Certificate graduate ndo mana awajatangaza wamerudi tafuta diploma kabla kipindi cha mpito 5

Huruma ni pale unasoma hadi degree kabs then kipindi cha mpito akijaisha kabs 2020 nape nnje bungeni kura zimembana mara kaja wazir mwingine afatilii kabs hayo mambo hata ukiwa la saba we piga kaz duh
 
nako kule hakupo sawa wamepigwa ganzi si unajua babuu wa kitaa kawekwa korokoroni mawingu hakujatulia tumsamehe
 
Kumtangaza Lisu kwenye media yako ni kujishushia hadhi mwenyewe.

Yoyote aliyeshiriki kumtakatisha Lowasa hatakaa akanyage kwenye media yangu


mwasita wakati anagombea ubunge mwaka 2010 had na 15 alipitaje huko chamani wakat mnajua ni mchafu?
 
nako kule hakupo sawa wamepigwa ganzi si unajua babuu wa kitaa kawekwa korokoroni mawingu hakujatulia tumsamehe
Kwenye jahazi mda ule ule walitangaza na Ayo katangaza sema alietoa mada sio msikilizaj wa hiyo redio bhna {aiiseee Tz }.
 
Ukishakuwa na hasira na mtu basi hata hujali tena...pitia ayo tv utaona
 
Back
Top Bottom