Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
mke wako aliyekukimbia kama anathubutu hata kupokea simu yako atakuwa anakupenda sana aisee
we jamaa nimecheka hatari hii emoji yako, huyu jomba anahitaj msaada wa kisaikolojia haraka sn!
Mmmh! Wewe kiboko! Atakuwa rais wa Milembe[emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji2]Ila wewe jamaa ndugu zako wasipokuwahi lazima utakuwa Rais wa Milembe. Niamini mimi!!
HahahahaDuuu huku si kuyumba kwa dish sasa ni kukatika kabisa na kuanguka