Recent content by Starseed

  1. Starseed

    JamiiForums Tanzania Income ipo, expenses za ofisi zipo chini yake lakini profit haiendani na juhudi

    Fungua kabiashara kingine ka ziada unakuwa na more than one option hiyo ziada unaweka mtu unayemuamini kusimamia huku wewe ukiendelea na hiyo at the end of the day unakuwa na double source of income
  2. Starseed

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya kazi

    Mkuu huyo jamaa anapatikana wapi kwa aliyepo dodoma?
  3. Starseed

    JamiiForums Tanzania Kama haukuangalia hizi muvi uzaliwe tena

    The way of the dragon bruce lee spiderman 2002 fist of legend jet li Paranawe mark dacascoss Bloodsport van damme Drunken master jackie chan escape from sobibo commando anorld schwensnegger saiborg van damme
  4. Starseed

    JamiiForums Tanzania Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

    Nchi imeshakuwa ya kisenge
  5. Starseed

    JamiiForums Tanzania Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

    Nchi imeshakuwa ya kisenge
  6. Starseed

    JamiiForums Tanzania Nataka kuolewa, ila nataka nieendelee na uhuru wangu

    Kubali yaishe mjomba alafu usiwe unajifanyia maamuzi ya pekeyako kama unampenda kweli haijalishi mahala alipo nataka ulijue hilo mapema kwamba ukishaingia kwenye ndoa utakuwa chini ya mume punguza marafiki ndo wanaokushauri ujinga.
  7. Starseed

    JamiiForums Tanzania Oh Mungu wajalie waja wako, waoe na kuolewa mwaka huu

    Ameen
  8. Starseed

    JamiiForums Tanzania Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

    Duuh wakati magu akiwa hai huyo chizi alikuwa wapi kuyasema mapema
  9. Starseed

    JamiiForums Tanzania Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

    Mkuu kwanza mimi binafsi sibeti kwa mazoea ila ckuizi vijana wengi wameigeuza kama ajira huwa nahuzunika sana nchi yangu nguvu ya vijana inazidi kupotea.
  10. Starseed

    JamiiForums Tanzania Yaani unakuta Mwanaume Umelala na Huna Zana yoyote ya Kujilinda Ndani Mwako

    Nitafanya hivyo siku nikiwa na billion nimezificha ndan ila jua ukiwa na Mungu huna haja ya kusumbuka mkuu ✍️
  11. Starseed

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa ITV ukiondoa taarifa ya habari, wana kipindi gani kingine cha maana?

    Tbc hujawaona unawasakama ITV 😂😂😂
Back
Top Bottom