Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 11,293
- 25,771
Kazi za sales na marketing hata leo kampuni yoyote hunyimwi. Utaambiwq ufanye physical visiting ukasage meno
Kazi ya shamba uko wapi,Kazi ya shamba unaweza?
La saba hawachukui au ata form 2 ,Kazi za sales na marketing hata leo kampuni yoyote hunyimwi. Utaambiwq ufanye physical visiting ukasage meno
Boxer u aweza endesha?Mim ni Kijana wa kiume , mwenye afya njema elimu yangu kidato Cha sita. Naishi dar es salaam kimara. Nimetafuta sana kazi ila nimekosa ,nilikuwa naomba nafasi ya kazi yoyote ile , na nipo tayari kufanya kazi yoyote ile kwenye mazingira yoyote yale
Kiwanda gan wanalipa hivo??Njo pm mkuu...
Ila jua kabisa ninkazi ya viwandani kwa siku unapata 20 mpaka 25
Kazi kubabe viroba vya unga kilo 25..
Vugezo uwe na barua mbili ya utambulisho na mdhamini
.. namba ya nida
.. TIN number
Na kiasi cha shilingi 40k kama agent fee
Ukiwa tayari nitafute kama huna ivo vtu usosumbuke
Kipo banda la ngozi.. paleKiwanda gan wanalipa hivo??
Kama upo serious na sales kampuni yetu nltunahitaji agents kazi si ya kikesha juani ni wewe tu na juhusi zako inshort kama uwinga 0768842034Mim nimemaliza mwaka huu katika chuo kikuu dar es salaam katika fani ya bachelor of commerce in tourism and hospitality management , sijaweka kwa sababu nasubiria matokeo yatoke ndo maana nikaamua niweke elimu yangu ya form six dhumuni kubwa ni kufanya kazi zile zote ambazo haziitaji mtu awe na ujuzi mkubwa customer service, marketing and sales, ulinzi, delivery n.k
Au kama upo kimara nipo kimara pia twaweza kutana tukayajengaKaka mim naweza kazi ya shamba 100%
Kwahiyo kwa mwezi unakunja mia saba hamsiniKipo banda la ngozi.. pale
Nitafutie na mie ya Ulinzi? Niko seriousNjo kwenye ulinzi udsm wenzako wapo wengi uku 0614951696
Hapana hii umemdabganya hakuna agent fee na kiwanda kinacholipa hizo Hela aende pale BAKHERESA BUGURUNI -DSM awe na hivo vitu tu ila siyo Hela 40k hii nakataaNjo pm mkuu...
Ila jua kabisa ninkazi ya viwandani kwa siku unapata 20 mpaka 25
Kazi kubabe viroba vya unga kilo 25..
Vugezo uwe na barua mbili ya utambulisho na mdhamini
.. namba ya nida
.. TIN number
Na kiasi cha shilingi 40k kama agent fee
Ukiwa tayari nitafute kama huna ivo vtu usosumbuke
akimpeleka kiwanda chochote cha AZAM anaenda kumuumiza kijana wa watuKiwanda gan wanalipa hivo??
Mkuu huyo jamaa anapatikana wapi kwa aliyepo dodoma?Mcheki huyu Jamaa whatsapp 0628731833.. Anatafuta vijana wa kubandika mabango ya matangazo. Nafikiri ni mchongo wa tempo tu lakini sio mbaya angalao ukawa bize bize.
Sijajua mkuu. Najua kuna project ya yas kubandika mabango yao naona kuna vijana wanapita mtaa kwa mtaa kubandika mabango ya mixx by yas kwa mawakalaMkuu huyo jamaa anapatikana wapi kwa aliyepo dodoma?
Mwanamke naweza kupokelewa,na hitaji kazi pia?.Njo pm mkuu...
Ila jua kabisa ninkazi ya viwandani kwa siku unapata 20 mpaka 25
Kazi kubabe viroba vya unga kilo 25..
Vugezo uwe na barua mbili ya utambulisho na mdhamini
.. namba ya nida
.. TIN number
Na kiasi cha shilingi 40k kama agent fee
Ukiwa tayari nitafute kama huna ivo vtu usosumbuke