Kama haukuangalia hizi muvi uzaliwe tena

Jenii, movie ya kwanza kabisa kuiangalia nikiwa na akili timamu. Kuona video enzi hizo ilikuwa si mchezo, hata wazee walikuwa wanakuws wapole kwelikweli wakati wa kwenda kwa jirani. Wanasalimia mpaka bata (utasikia, "habari ya mifugo yako hapa nyumbani baba fulani")
Duh!..
 
1. The shawshank redemption,
2. Daylight robery
3.Santamigo pantamunyu ( ya macowboy jina nmesahau)
4.The Odysey
5. Drunken master
6. Resident Evil
7. Kuch kuch
8. after 28 days
9. Dilwale dulhania Lijayenge
10. The mummy
11. Jeshi la wafu ( army of the dead).
kama hujaziona hizi nenda kazitafte utanishukuru.
2. Movie inaitwa From Dusk Till Down

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom