Mkuu habari ya njaa ni propaganda tu, kama watu wameweza kutengeneza nyuklia, wanatumia computer zao (wana operating system), na wana simu za kwao (smartphone) hawategemei, walipandisha satelite 2 angani kabla hata ya South Korea, n.k. Pia isisahau Pyongyang ni miongoni mwa miji 80 duniani yenye...
Kipindi hicho tulikuwa tunakodisha Chaser na saa nyingine hulipati unaamua kuahirisha safafi ili gharama ya teksi isiwe kubwa kuliko nauli..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we siyo wa zamani, mimi enzi hizo Dar-Moro yakizidi masaa 2 tulikuwa tunalalamika sana, na kwa barabara zilivyokuwa hazina tochi na matuta mengi, ilikuwa rahisi kupiga gia na kutoboa hadi Iringa ndani ya masaa 4‐5, kutoka Iringa-Mbeya ndo barabara ilikuwa nyeupe kabisa mpaka miaka ya...
Mkuu hawa jamaa walikuwa wanapiga gia si mchezo. Nakumbuka 2009 nikiwa natoka Nzega kwenda Dodoma kwenye Land Cruiser Hardtop ya ofisi bus la Allys lilitu-overtake sisi tukiwa spidi ya 140km/h. Nilikuwa na bosi wangu anaitwa Papaa, hakuamini alichokiona kwasababu Cruiser ilikuwa mpya haina hata...
Mwenye kitabu kinachoitwa "Africa's Business Revolution: How to Succeed in the Worlds Next Big Growth Market" mwandishi ni Acha Leke, et. al tuwasiliane.
Kumbuka kwa hapa TZ kuna wamiliki wanacheza dili na wanaokagua hizo system. Ndo maana hata kelele za hicho kifaa zinatofautiana kulingana na basi ulilopanda. Pia kuna mabasi ambayo yanafanya safari za nje ya nchi ambayo hayajasajiliwa TZ, yenyewe hayafungiwi hivyo vifaa na mara nying yanatembea...
Huu mfumo ni njia mojawapo ya upigaji pesa. Ingawa kinachonikera mimi ni double standards zilizopo barabarani. Sehemu ya spidi 50km/h basi linapita kwa spidi ya 80km/h na trafiki hawalikamati, lakini ukiwa na gari dogo na umeongozana na basi hilohilo we unakamatwa na unapigwa faini 30,000/=.
Hatua za kupata M-pesa Mastercard ni:
1. Kutengeneza kadi
2. Kunakili namba za kadi, mwezi na mwaka ambao inaisha muda wake, CCV
3. Kuweka hela
4. Kuanza kutumia kadi yako
KUTENGENEZA KADI MPYA:
Ingia kwemnye MENU ya Mpesa (*150*00#)
Bonyeza namba 4 (Lipa kwa M-pesa)
Bonyeza namba 6 (M-pesa...
Elimu nzuri sana hii, binafsi natumia M-pesa mastercard. Ni rahisi sana na haina usumbufu wa aina yoyote. Changamoto ya kuagiza vitu Aliexpress zipo, kwa mfano binafsi nilishatumiwa mzigo feki kama mara 2. Hivi sasa naagiza Amazon na Ebay tu baada ya hizo changamoto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.