Utata, upotoshaji na ukweli unaouma kuhusu 'The Da Vinci code'

Utata, upotoshaji na ukweli unaouma kuhusu 'The Da Vinci code'

shida inakuja hapa kwamba ni ngumu kuibadilisha mitazamo ya wakristo na wafia dini hiyo kutokana nakuwa hawapendi kuukubali ukweli biblia inamashaka mengi na inatia wasi wasi hata kwa wale waiaminiyo........iwaje kitabu kitakatifu kiwe na nakala mbili ya kale na ya zamani...kwahiyo inamaanisha mungu kwenye agano la kale aliikosea mpaka akaamua atoe NEW EDITION....kuna kitu huwa najaribu kulinganisha kati ya vitabu hivi viwili vikuu ambavyo vina watumiaji wengi yani QURAN na BIBLIA ambapo Quran imeweza beba mafundisho yake yote ndani ya kitabu kimoja ambapo mafundisho yake yanatafsiriwa kwa SUNNA[matendo ya mtume MUHAMMAD] na HADITHI za mtume ikiwa hadithi na sunna hizo zote hakuna zinazoongeza chumvi wala kupunguza bali kutafasiri kwa upana mafunzo yaliomo ndani ya QURAN ambapo BIBLIA kwa hapa imefeli kabisa kutokana na kuwa na BIBLIA nyingi mara hii ya WASABATO ile ya KKKT nk........jambo jingine ni lugha zinazotumika ndani ya vitabu hivyi viwili katika suala la ibada na hapa ndipo BIBLIA IMEFELI 100%.......pale muhubiri wa dini wa kikristo mfano anatokea china akija kuongoza ibada TANZANIA yeye atatumia KICHINA ambapo atahitaji mkalimani ili aweze kuyatafasiri maneno yake ili waumini waweze kuelewa ni nini cha kufanya WAKATI wafia dini ya UISLAMU wanatoka nchi mbalimbali duniani zikiwemo TANZANIZ,CHINA,JAPAN,USA nk wakielekea kwenye ibada MAKKA.....pale imamu atakayekuwa anaiongoza ibada hatahitaji mkalimani akisema 'ALLAH AKBAR' kila mtu ndani ya msikiti ule ataelewa ni nini cha kufanya ama nikipi kimeamrishwa bila kuhitaji mkalimani...na hii inaprove ya kwamba dini yauislamu ni ya ulimwengu mzima na sio mtu na mtu ama nchi na nchi na pia inaonesha UISLAMU kuwa ndiyo dini ya haki iliyotoka kwa mwenyezi Mungu jala jalali na sio ya kutungwa na mtu ndo maana haioneshi makosa katika utendaji wake.........UKRISTO UNAONESHA MAPUNGUFU MENGI!!!!!!
UDINI OG. ukitaka kujua madhaifu ya dini yako embu ivue kwa mda kisha anza kuichunguza lzm mapunguf uyaone, tena ktk duni zote uslam ndio una mapubgufu 1000k... achana na habari za ushabiki mkuru!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yote hayo niCRAP
vitabu vya Biblia (Agano la Kale Agano Jipya zaidi ya vitabu 66 mpaka 73) viliandikwa na binadamu wa kawaida kama Musa wa Misri huko nyikani na hata vitabu vya Dr Luka na wengine walikuja fia Ethiopia
Hivi vitabu ni tofauti na Quran iliyoshushwa tena ni baada ya Biblia kuandikwa na kuhifadhiwa na zaidi ilikuwa Copy & Paste katika simulizi
Huu upuuzi wa eti Quran ilishushwa bado kuna watu wanaamini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu upuuzi niliusoma zamani sana, kwenye makala moja kwenye gazeti la RAI la wakati huo ikiandikwa na Padri Privatus Karugendo ambaye kanisa katoliki lilimtimua kwa sababu ya aina ya mafundisho yake.

Kwa kifupi, Don Brown alikuwa na nia na lengo la kuchafua kanisa katoliki na mafundisho yake. Askofu Methodeus Kilaini aliwahi kutolea ufafanuzi kuhusu hii kadhia katika kipindi kilichokuwa kikirushwa na Radio Tumaini kipindi kiitwacho Historia ya kanisa.

Da vinci michoro yake mingi ipo katika mafumbo. (Code) Don Brawn Amejaribu kuelezea zile nadharia ambazo wengi wamekuwa wakizisema. Ukweli ni kwamba kanisa katoliki ni moja kati ya Kanisa (taasisi?) Yenye historia kubwa na ambayo haiwenzi kuaribiawa na watu wa aina ya dan brawn na wafuasi wao kina Karugendo.

Eti Yesu alikuwa na Mahusiano na Maria Magdalena! Wanaenda mbali kwa kusema kwamba eti YESU alizaa watoto na Maria Magdalena.

Ajabu!
Hata kama
Mkuu haiondoi ukweli kuwa Yesu ni Bwana
Na ukatoliki ndo kundi aliloliacha Kristo
Full stop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Panua mawazo yako kwa kusoma and do your reseach. Dont be dogmatic and conservative
Umenichekesha unavyosema eti soma na kufanya research,
Yani upo Tanzania usome alichoandika MTU aliyepo ulaya au amerika halafu ujifanyie utafiti kwa kuwauliza waliopo mtaani kwako na humu Jf tena kuhusu jambo lililopo Vatican ama ulaya,halafu ujiite umefanya tafiti,
Aisee elimu ya kukaruli lugha ya Babylon imefanya tuzidi kuwa watumwa,
Unashindwa kupata suruhu ya matatizo yaliyo ktk jamii kwa kufanya tafiti,eti unashupaa kufanya unachodhani ni tafiti juu ya maisha ya jamii ya mbali,
Aibu
Aibu
Aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unashindwa kuendana na level za vitu vilivyooneshwa kwenye comment ile.........prove sasa kwamba agano la kale lilitokea wapi na jipya lilitokea wapi?......kutokana na kuwa upande wa uislamu ni sharia mojawapo ili uwe muislamu kamili ni lazima ukubali kuviamini vitabu vyote vinne vya mwenyezimungu....
1.ZABURI
2.INJILI
3.TAURATI na
4.QURAN......kuwa vitabu vyote hivyi ni vya mwenyezimungu...na kila kitabu kilishushwa kwa UMATI(JAMII) flani kwa kipindi flani na kila kitabu kikaja kubadilishwa kutokana na kupatikana kwa kizazi kingine.....na hizi ndizo zilizokuwa UMMA na vitabu vyake kama ifuatavyo..
1.ZABURI...ilishushwa kwa ummat wa NABII DAUDI(a.s)
2.INJILI......ilishushwa kwa ummat wa NABII ISSA(a.s)
3.TAURAT...ilishushwa kwa ummat wa NABII MUSSA(a.s)
4.QURAN....ilishushwa kwa ummat wa NABII MUHAMMAD(s.a.w)

kwa hiyo unaposema kuwa silijui agano jipya wala lakale unatakiwa uprove kuwa kweli silijui.....wote tunakubaliana ya kuwa INJILI=BIBLIA kama muitavyo nyinyi japo BIBLIA imebadilishwa sana sio INJILI halisi....INJILI ni moja tu na haina matawi ya kuwa na injili ya kale wala mpya..ilishushwa INJILI MOJA na sio INJILI MBILI na kama unataka kuonesha kuwa injili zipo mbili(agano la kale na jipya) basi tuoneshe ni umma gani ulikua na agano la kale na ni upi una agano jipya....kwa hiyo 100% UKRISTO wa sasa na INJILI ya sasa ni ZAKUBUNIWA sio HALISI....prove me wrong..na sio kuleta point za kukaririshwa!!!!!
Haya yote umeyaongea kadiri ya ulivyokarilishwa Madrasa,
Nidokoe moja tu kukudhihirishia ulivyokarilishwa kitumwa madrasa
Injili siyo Biblia,
Injili ni sehemu ya Biblia,
Wala injili haikushushwa,
Injili ni mkusanyiko wa mafundisho ya Kristo na mitume wake,
Full stop,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quran ref(2:2) "THIS IS THE BOOK WITHOUT ANY DOUBT INSIDE OF IT"......'hiki ni kitabu kisichonashaka ndani yake'...................katika kitabu ambacho kinaeleweka na mapungufu kuonekana bila kujificha ni BIBLIA....ni nan ambaye ataisoma BIBLIA naakashindwa kuelewa....mbona kama unataka kuipa sifa zisizo zake(UMEIVISHA KILEMBA CHA UKOKA)
Mwenye akili pana ataelewa sababu nyuma ya hayo maandishi ama fungu la Quran ulilonukuu
Ile tu kuandika hiki ni kitabu kisicho na shaka ndani yake inaonesha lengo la muandishi ni kutaka kuponda kilichotangulia/Biblia na kuwaaminisha uongo wataofuata,
Ilipaswa kitabu chenyewe kisiwe na shaka siyo muandishi kukipromo kuwa hakina shaka,
Quran ni kitabu mwizi cha mafundisho ya Biblia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INJILLI halisi ni ile ambayo haikuonesha maisha ya NABII ISSA(YESU) injili ili simama katika kuelezea mambo yaliokuwepo kabla ya NABII ISSA na si baada yake na hii INJILI ndiyo inayofanana kwa kiasi kikubwa na AGANO LA KALE na siyo jipya....kwahiyo BIBLIA sio INJILI halisi kutokana iliandikwa na mwanadamu moja kwa moja na sio kutokana na mtiririko ambao utaonesha kuwa maneno yale ama maandiko yale ni ya mwenyezi mungu na hii inashahidiliwa kutokana na AGANO JIPYA kuwa na INJILI NYINGI badala ya kuwa na ile injili moja ambayo ndiyo iliyoshushwa na mwenyezi mungu na hii inaoneshwa moja kwa moja kwa kuwepo kwa injili kama INJILI YA MARKO,PAULO,na nyinginezo na kuonesha kuwa AGANO JIPYA liliandikwa na mwanadamu na sio maneno ya mungu..matendo ya NABII ISSA yakaja kuelezewa katika kitabu kilichofuata ambacho ndicho cha ummat wa mwisho ambacho ni QURAN na kikashushwa katika ummat wa NABII MUHAMMAD na hii ni moja wapo mwa sababu zinazo onesha kuwa QURAN imekusanya vitabu vyote mfano MAISHA YA NABII ISSA,MAISHA YA NABII MUSSA,IBRAHIMU,NUHU,DAUDI,YAQQUUB, na kadhalika ambayo yote kwa ujumla yalioneshwa katika vitabu vilivyopita

Kwa nini huws mnapenda kulazimisha mtoto wa beki tatu Issa ndite Yesu Kristo???
 
yote hayo niCRAP
vitabu vya Biblia (Agano la Kale Agano Jipya zaidi ya vitabu 66 mpaka 73) viliandikwa na binadamu wa kawaida kama Musa wa Misri huko nyikani na hata vitabu vya Dr Luka na wengine walikuja fia Ethiopia
Hivi vitabu ni tofauti na Quran iliyoshushwa tena ni baada ya Biblia kuandikwa na kuhifadhiwa na zaidi ilikuwa Copy & Paste katika simulizi
Una uhakika gani kwmba ilishushwa?
 
Duh kwanini hamuanzii mwanzo wa mtiririko ktk post #44 na #45 nimemjibu mleta Mada nimeelezea vizuri kuwa hao wanaotuambia Quran ilishushwa mbona ni Copy & Paste, huwezi kwenda kwenye chumba au mashubaka ya mtu kahifadhi Torati zake ukasema vimeshushwa,
kwa hiyo napinga kushushwa kwa Quran kwana vyote vilikuwepo
Hivi vitabu ni tofauti na Quran iliyoshushwa tena ni
baada ya Biblia kuandikwa na kuhifadhiwa na zaidi ilikuwa Copy & Paste katika simulizi
 
INJILLI halisi ni ile ambayo haikuonesha maisha ya NABII ISSA(YESU) injili ili simama katika kuelezea mambo yaliokuwepo kabla ya NABII ISSA na si baada yake na hii INJILI ndiyo inayofanana kwa kiasi kikubwa na AGANO LA KALE na siyo jipya....kwahiyo BIBLIA sio INJILI halisi kutokana iliandikwa na mwanadamu moja kwa moja na sio kutokana na mtiririko ambao utaonesha kuwa maneno yale ama maandiko yale ni ya mwenyezi mungu na hii inashahidiliwa kutokana na AGANO JIPYA kuwa na INJILI NYINGI badala ya kuwa na ile injili moja ambayo ndiyo iliyoshushwa na mwenyezi mungu na hii inaoneshwa moja kwa moja kwa kuwepo kwa injili kama INJILI YA MARKO,PAULO,na nyinginezo na kuonesha kuwa AGANO JIPYA liliandikwa na mwanadamu na sio maneno ya mungu..matendo ya NABII ISSA yakaja kuelezewa katika kitabu kilichofuata ambacho ndicho cha ummat wa mwisho ambacho ni QURAN na kikashushwa katika ummat wa NABII MUHAMMAD na hii ni moja wapo mwa sababu zinazo onesha kuwa QURAN imekusanya vitabu vyote mfano MAISHA YA NABII ISSA,MAISHA YA NABII MUSSA,IBRAHIMU,NUHU,DAUDI,YAQQUUB, na kadhalika ambayo yote kwa ujumla yalioneshwa katika vitabu vilivyopita
Hivi unaelewa unachokiandika? Unaelewa maana ya BIBLIA?
 
prove unachoongea!!!!!!!......... maana mtu wa kwanza kumtabiria mtume MUHAMMAD utume wakati akiwa mdogo kabisa alikua ni PADRI BAHIRA sasa nashangaa mnavyotunga mambo yasio na uhakika wowote ama kithibitisho chenye nguvu.......
sawa kabisa tena ndani ya sham wala si makka
 
Huu upuuzi niliusoma zamani sana, kwenye makala moja kwenye gazeti la RAI la wakati huo ikiandikwa na Padri Privatus Karugendo ambaye kanisa katoliki lilimtimua kwa sababu ya aina ya mafundisho yake.

Kwa kifupi, Don Brown alikuwa na nia na lengo la kuchafua kanisa katoliki na mafundisho yake. Askofu Methodeus Kilaini aliwahi kutolea ufafanuzi kuhusu hii kadhia katika kipindi kilichokuwa kikirushwa na Radio Tumaini kipindi kiitwacho Historia ya kanisa.

Da vinci michoro yake mingi ipo katika mafumbo. (Code) Don Brawn Amejaribu kuelezea zile nadharia ambazo wengi wamekuwa wakizisema. Ukweli ni kwamba kanisa katoliki ni moja kati ya Kanisa (taasisi?) Yenye historia kubwa na ambayo haiwenzi kuaribiawa na watu wa aina ya dan brawn na wafuasi wao kina Karugendo.

Eti Yesu alikuwa na Mahusiano na Maria Magdalena! Wanaenda mbali kwa kusema kwamba eti YESU alizaa watoto na Maria Magdalena.

Ajabu!
Maria Magdalena ndo Nani? Na Maria mke wa Yusufu ni mtu mmoja au tofauti
 
Napata shida sana na watu wanaoamini vitabu vya juzi vilivyotungwa na binadamu na kuamini dini ya mzungu wakati nao wamepokea ebu jaribu kwanza kutafuta hata historia ya dini mataifa mengi hadi kukubali dini izo ilikuaje kwann muarabu mpaka leo analazimisha dini yake bora na kufanya maangamizi kwa upanga kupinga dini lakni aisemwi
Dini zote ni janja janja ..uongo mwingi uliojaa uzandiki ubinafsi na uadui
 
Back
Top Bottom