God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 720
- 1,370
Achana na BM bus, hizo speed zake ni habari nyingine. Akili ya binaadam huwa hailali, inawaza mapya kila siku. Wewe ukifunga kushoto, mwenzio anafikiria afanye nini ili afungue na kupitia kulia.IlaWeka Speed App kwenye simu yako kisha panda BM za Arusha na Moshi au baadhi ya Abood Bus za Moro Dar