Recent content by Stanley mrema

  1. Stanley mrema

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    Kata ya Goba Wilaya ya Ubungo Barabara ni ya uhakika ni hatua 50 toka mwisho wa daladala za Kinzudi. Ukishukia Makonde pikipiki ni 1500.
  2. Stanley mrema

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    Kata ya Goba Wilaya ya Ubungo Mkoa wa Dar es salaam
  3. Stanley mrema

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    Kiwanza kinaunza Mahali: Kinzudi Ukubwa: 40*50m Bei:. Milion 65 (maongez yapo) Umeme na maji vipo hapo hapo NB: Kuna jengo la ghorofa moja ambalo kidogo lipo chini ya kiwango, ni uamuz wako kulirekebisha au kubomoa na kuanza ujenz upya
  4. Stanley mrema

    Vietell Tanzania inatafuta wafanyakazi 784 katika nafasi tofauti

    headquarters is located at Plot 145, Regent Estate, Migombani street, Mikocheni, P.O. Box 110230, Dar es Salaam, Tanzania.
  5. Stanley mrema

    20 kwa 20 kiwanja naweza kujenga nyumba vyumba vitatu,sebule kubwa ,toilet?

    Kinatosha kabisa mkuu, kuna karaman flan ninako kangekufaa zaid ila nimeshindwa kuku-attach. Nichek nikutumie
  6. Stanley mrema

    Msimamizi wa "masters" ya Tundu Lissu ajuta!

    University of Warwick, UK LLM 1995-1996 MASTERS DEGREE
  7. Stanley mrema

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Woga wa ZZK ni wa kupoteza Ubunge wake na vyeo alivyovipata kupitia huo ubunge kwa tiket y a chama. ZZK hang'ang'anii CHADEMA bali nafas alizozipata kupita chama. Akipotza uanachama ndo kwisha habar yake.
  8. Stanley mrema

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Wanafunz waliokosa mkopo warudi kwao wakauze ng'ombe na mashamba walipe ada…… Pesa za mikopo zimeisha (W Elimu)
  9. Stanley mrema

    Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

    Duh lak yakupiga scrub! kwel atakuwa amevurugwa
  10. Stanley mrema

    HII INGELIKUWA NI Tanzania...! ANGELIKUWAJE HUYU MTOTO ?

    Angemfuata Mw.......si
  11. Stanley mrema

    wadada wabaya ndo hutongoza wanaume

    Ndege wanaofanana huruka pamoja. Kama wamechoka na ww inawezekana umechoka ndo wamemfata ndege mwenzao
  12. Stanley mrema

    Viroja vya Watangazaji wa TBC,na ufahamu wao mdogo wa Jeografia ya Nchi

    Mnataka afanye kazi mpaka lini. Vijana wadogo wapewe nafasi. Hata nyie mkishika nchi TBC itakuwa yenu ongezen bidii. Mtoa mada kwan ww si ulielewa alikuwa anamaanisha nini, kateleza ulimi na mawazo mengi. Na sidhan kama yeye pekee ndo mwandish anayekosea mbona wapo wengi....hali ya kibinadamu...
  13. Stanley mrema

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    Tanzania ya sasa sio ya zaman tena watu wanatambua haki na wajibu wao. Wabunge wa CCM wakipitisha TUUU, CCM kwishnei wanatoa daraja la kutosha kwa wapinzan kuzid kufunua umbumbumbu wa viongoz na njama zao za kuficha ujinga wao. Au wale wenye vitambi vikubwa wanaosinzia wanataka waende na...
  14. Stanley mrema

    Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

    huo ndo ukwel maana watu wangeambiwa wajitolee baadh wafanye hyo kaz hakuna ambaye angekubali au watu walitaka ofisi ya Takwimu izunguke nyumba kwa nyumba wenyew. Watu tupendee kuongea ukwel wa haki sio ukwel wa hisia. Pongez kwa serikal japo kuna mapungufu ya hapa na pale japokuwa yote hayakuwa...
Back
Top Bottom