Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

Pole sana (my take),mwananchi wanafurahasha watawala,hawawezi sema kweli! Unategemea Mtei atoe kauli gan kwa huyo mnafiki anayesumbua?Waweza sema ni ukanda,saw a lakn unafiki,ujuaji haukubaliki sehemu yeyote hats ingekuwa ww , CDM mtoen huyo aende jimbo LA Juba

Chama cha babamkwe !
 
hivi huyu ndo kiongozi anayeish ktk mising ya demokrasia kwel?hiv hii ni mal ya mtu binafs au?kwanini hawatak kukubal mapungufu yaliopo watu walisongeshe jahaz mbele,hata kama mlikianzisha kwa
manufaa binafs,imefika muda sasa muelewe nafas yenu ktk nchii hii,huo ubabe uishe,mawazo ya kila mtu yaheshimiwe,huo umungu mtu unatoka wap?kwaiyo mtei ndie anaechagua nani awe rais au wanachama?au tukuachie ukiongoze peke yako na mbabe mbowe?mtei mtei....mpaka lini?unden demokrasia ya kwel huo umimi hatuutak!
 
Nyerere alimpomkaa Malecela kwani CCM ilikuwa mali binafsi ya Nyerere?? fikiria kwa akili zako kabla ya kuuliza uliza, NI msngi hiyo hiyo Mtei anasimamia CDM. Ni akili za kawaida umefika mahkamani tayari wewe sio mwanachama, maana uanachama ni wahiari, na mwanachama ana maliza madai yake kwa wanachama ndani ya CHAMA sio vinginevyo
 
yeye ni mwanzilishi na sio mwenye chama, kwa hadhi yake angetakiwa kuwa mshauri na sio kuwa na upande wowote, kwa inavyoonekana yupo upande mkwe wake!
mzee anachofanya ni ubakaji wa demokrasia ndani ya chama, kwa mwendo huu hata CDM ikishika nchi atakua hivihivi!
demokrasia ya kweli ni maelewano na kuacha tofauti!
 
Mwenye chama ndiyo kashasema sasa. Yeye Mtei ndiyo HAYATOLLAH wa CHADEMA kama hamtaki basi, lakini huo ndiyo ukweli.

Hata Nyerere alikuwa hivihivi. Waasisi wa wazo, vitu, vyama, dini mara nyingi hushika hatamu katika maamuzi mengi. Hiyo ni heshima maalumu isiyoombwa wala kujadiliwa. Huja automatically.
 
Nyerere alimpomkaa Malecela kwani CCM ilikuwa mali binafsi ya Nyerere?? fikiria kwa akili zako kabla ya kuuliza uliza, NI msngi hiyo hiyo Mtei anasimamia CDM. Ni akili za kawaida umefika mahkamani tayari wewe sio mwanachama, maana uanachama ni wahiari, na mwanachama ana maliza madai yake kwa wanachama ndani ya CHAMA sio vinginevyo

huna tofaut na parasite,hujui maana ya peoples power,hapa minority does not rule,ni majority tu,kwa akil za juu juu utajiona uko sahihi,unapotea kijana kwa kuamin mtu,mtu ni mapito tu!hata huyu mtei hatokuwepo milele...kubal ukatae kuna ubovu kwenye umejificha na siwakat muafaka wa kuendelea kuuficha kwa maendeleo ya chama!
 
mzee ndio kasema hivyo,mwenye mbuzi akisema kamata mbuzi huyu ili achinjwe,wewe mchungaji huna la kufanya zaidi ya kutii amri ya kumkamata mbuzi.
 
Wee hunifahamu mimi kumbe. Mimi ni MPINZANI wa Chama Tawala na Mpenzi wa chama cha Upinzani.

Chadema ikishika Madaraka basi nakuwa MPINZANI wa Chadema. Sijui umenielewa? Sasa TUNAMSIFIA ni mimi na nani? Count me off Chadema, Please.
Mwananchi si ndiyo ipo chini ya Tido ambaye cdm mnamsifia sana! Leo anawafitini
 
Mkuu, unajua ukipunguza neno NYAJI kwenye MsengeNYAJI, tayari inakuwa tusi? Sasa hapo utasema, ahh neno NYAJI tu?
Mkuu hizo ni nukuu za Mtei na sijaona mahali mwadishi anajadili.........au hukupenda zitolewe............Tatizo kwa kipigo cha jana hamna CDM yeyote anayesoma magazeti kwa wiki hii...Poleni
 
Woga wa ZZK ni wa kupoteza Ubunge wake na vyeo alivyovipata kupitia huo ubunge kwa tiket y a chama. ZZK hang'ang'anii CHADEMA bali nafas alizozipata kupita chama. Akipotza uanachama ndo kwisha habar yake.
 
Mkuu, mie nipo huku SIKONGE, shamba kama nini hata Shetani amegoma kuja huku kukusanya wafanya dhambi, sasa magazeti tuyatoe wapi? Anyway, karibu sana Weekend maana Gongo langu litakuwa limeshakuwa tayari na Nyama pori.
Mkuu hizo ni nukuu za Mtei na sijaona mahali mwadishi anajadili.........au hukupenda zitolewe............Tatizo kwa kipigo cha jana hamna CDM yeyote anayesoma magazeti kwa wiki hii...Poleni
 
Maradhi ya Zito tumeyagunduwa

Psychopathic Personality Disorder (PPD).....most of whom are male

1. show callous disregard for the rights and feelings of others.

2. Dishonesty and deceit permeate their relationships.

3. They exploit others for material gain or personal gratification (unlike narcissistic people, who exploit others because they think their superiority justifies it

4. They act out their conflicts impulsively and irresponsibly.

5. They tolerate frustration poorly, and sometimes they are hostile or violent.

6. Often they do not anticipate the negative consequences of their Psychopathic behaviors

7. Despite the problems or harm they cause others, do not feel remorse or guilt. Rather, they glibly rationalize their behavior or blame it on others.

8. Frustration and punishment do not motivate them to modify their behaviors or improve their judgment and foresight but, rather, usually confirm their harshly unsentimental view of the world.

8. People with an antisocial personality are prone to drug addiction, sexual deviation, promiscuity etc

9. They are likely to fail at their jobs and move from one area to another.

10. They often have a family history of antisocial behavior, substance abuse, divorce, and physical abuse.

11. As children, many were emotionally neglected and physically abused.

12. They have attention-deficit disorder i.e. They seek attention.

12. People with PPD have a shorter life expectancy than the general population
 
Sasa najitoa kushiriki au kufuatilia siasa until further notice mimi CCM ishanikinai kitambo..CHADEMA ilionekana kuwa alternative sasa it seems wao ndo kabisa hawajitambui! Mbuzi kabisa..!!
 
Mwenye chama ndiyo kashasema sasa. Yeye Mtei ndiyo HAYATOLLAH wa CHADEMA kama hamtaki basi, lakini huo ndiyo ukweli.
Hata Nyerere kama mwasisi wa CCM aliwakataa baadhi ya wanachama kwenye mchakato wa uteuzi kugombea nafasi fulani na haikuonekana dhambi ila kwa Mtei wa CDM mmeona ni dhambi, play fair huyo ni mwasisi
 
zito ni zigo zito la ccm halibebeki lichukueni mkalihifadhi lumumba
 
huna tofaut na parasite,hujui maana ya peoples power,hapa minority does not rule,ni majority tu,kwa akil za juu juu utajiona uko sahihi,unapotea kijana kwa kuamin mtu,mtu ni mapito tu!hata huyu mtei hatokuwepo milele...kubal ukatae kuna ubovu kwenye umejificha na siwakat muafaka wa kuendelea kuuficha kwa maendeleo ya chama!
Kiwango chako cha kueleza na kujbuhoja ni chandimu, swali ni Nyerere alipokataa Malecela aliibinafsishia CCM? kama ndiyo kuna ubaya gani Mtei kufanya hivy?? kama sio kwanini unadhani ni hivyo kwa Mtei??? wew ndo unaolewa kifira kwa kumushabikia mtu badala ya hoja, yaani mtu anatuhmiwa hiki yeye anasema mwenyekiti nae alifanya hiki, hapo kwa wenye akili unakuwa umekubali kosa ila unataka huruma kwa vile wote tunafanya makosa. APOTELEEE HUKO HUYO MSALITI KIJANA
 
Back
Top Bottom