Mara zote sahili zinazohususisha watu wengi, Utumishi hutoa tangazo na angalizo mapema juu ya uwezekano wa kuchelewa kwa majibu. Husema wazi kabisa, majibu huweza toka usiku wa manane, lakini ratiba ya Oral itakua pale pale.
Hili swala sio la kulaumu, wasailiwa huwa wanaelezwa, ni wenyewe tu...
Kwa maoni binafsi, Kibatala kawaacha mbali mnoo sio tu mawakili wenzake wa utetezi, pia hata mawakili wa serikali, Dennis Urio na Afande Swila wanalijua hili, niishie hapo,
Kwa jamii nyingine mchonganishi alikua anajitolea kupigwa ngumi kadhaa na mmoja wa wagomvi, akiita ng'ombe, halafu anatoa oda ng'ombe zilipwe kwa upande wa pili wa wagomvi,..hapo lazima zichapwe.
Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wale wote watakao pitia/pita katika uzi huu. Nawashukuru nyote/wote.
Ni matumaini yangu kuwa nyote/wote mko "buheri" wa afya na naendelea vyema "kupambana" kupata mkate wa siku, kwa walio wengi, nakupata mpake wa siku na ziada kwa wale wachache.
Mimi...
Haiwezekani. Kwa utaratibu wa sasa utakua umekosa sifa, itakulazimu umalizie modules zilizobaki, upate bachelor. Mengine yataendelea.
Nimewasilisha
Akhsante.
Nikurudishe nyuma kidogo, CAG akiwa anatoa riport hii kwa mara ya kwanza kwa Mheshimiwa Rais alieleza wazi, ripoti yake imehusisha pia wakaguzi wa nje "Consultants". Kwa misingi hii ni wazi katika mradi complex kama huu alitumia hao wataalamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.