Hii kitu Isemwe na Irekebishwe (PSRS) Majina ya Oral Interview Kutolewa Usiku Saana

Twaqu

Member
Jun 26, 2022
15
29
Jamani hili suala lifikishwe Mahali Husika,

Interview Imefanyika two days ago Utumishi wana Tabia ya Kutoa Majina ya watu waiofanikiwa kuitwa Oral Interview Usiku....ambapo mtu wa mikoa ya Mbali ni ngumu kufika Dodoma endapo ataitwa kwenye Interview!!!

Hili suala tulifikishe mbali huu Utaratibu ni mbovu maana unatoa majina saa sita Usiku interview ni siku inayofuata mtu huyu yupo DSM au Mbeya au Mwanza anafikaje kama atakuwa ameitwa jamani.
 
Jamani hili suala lifikishwe Mahali Husika...
Interview Imefanyika two days ago Utumishi wana Tabia ya Kutoa Majina ya watu waiofanikiwa kuitwa Oral Interview Usiku....ambapo mtu wa mikoa ya Mbali ni ngumu kufika Dodoma endapo ataitwa kwenye Interview...
Sasa mkuu kweli unafanya written then unarudi mkoani kusubir majibu ya oral ili urudi Tena dodoma haupo serious mkuu
 
Jamani hili suala lifikishwe Mahali Husika...
Interview Imefanyika two days ago Utumishi wana Tabia ya Kutoa Majina ya watu waiofanikiwa kuitwa Oral Interview....
Sio vizuri kutoa majibu usiku, pia sio vizuri kwa wewe kuondoka endapo umeambiwa majibu yanatoka baada ya siku 1 au 2 then siku ya 3 ndio oral.

Nimeona Utumishi wanatoa ratiba kamili(written na Oral), kinachobaki ni msahiliwa kuzingatia hata kama majibu yanachelewa kutoka.

Binafsi tarehe 24 nina Written Dom halafu oral yake itakuwa tarehe 27. Hapo itanibidi baada ya written(endapo nitakuwa na matumaini ya kwenda oral) nitayasubiri majibu huko Dom kwa siku ya tarehe 25, 26.

Ukisema uondoke tarehe 25 ukitarajia majibu yatoke mchana wa tarehe 26, hapo umebeti kufutwa tozo
 
Hahaha, Mkuu nimecheka sana, hasa hapo kwenye kubeti.
 
Mara zote sahili zinazohususisha watu wengi, Utumishi hutoa tangazo na angalizo mapema juu ya uwezekano wa kuchelewa kwa majibu. Husema wazi kabisa, majibu huweza toka usiku wa manane, lakini ratiba ya Oral itakua pale pale.
Hili swala sio la kulaumu, wasailiwa huwa wanaelezwa, ni wenyewe tu kutozingatia ama kukata tamaa baada ya kukutana na mkando wa written hivyo huamua kuondoka kwa kuamini kuwa wamefeli.
 
Ukute ilikuwa written yake ya kwanza halafu kafanikiwa kwenda oral ilihali kashaondoka
😂😂😂😂matokeo yanatoka saa7 halafu yupo kyera kule wanaita mto gani sijui unatenganisha kyera na malawi apo labda aje na mtumbwi wa vibwengo hahhh
 
Hajui kama tushaelekezana hadi Guest za buku 7 kushuka chini ili tuweze kwenda kusubiri majibu. Yeye anaamsha na kuchoma nauli kuanzia 25k kwenda juu, ambapo angejisitiri kwa siku 3 kwenye guest ya buku 7

Hahaha, ni kweli Mkuu. Labda imemtokea kwamba amefanya written akajihisi wamemkanda sana ameshafeli, akakata tamaa akaona ni bora adandie basi, kufika nyumbani au akiwa anakaribia ndipo simu ya kuitwa Oral inaingia.
 
matokeo yanatoka saa7 halafu yupo kyera kule wanaita mto gani sijui unatenganisha kyera na malawi apo labda aje na mtumbwi wa vibwengo hahhh

Hahaha, anaweza kutamani angekuwa mchawi au atafute wachawi haraka sana wamrushe na ungo kuwahi.
 
Back
Top Bottom