Keitaro Yamaguchi
Member
- Aug 30, 2018
- 72
- 54
Ni ada ya kutoa hyo kadi ya Tanzanite Master Card, siyo ada ya mihamala.
Ni ada ya kutoa hyo kadi ya Tanzanite Master Card siyo ada ya mihamala.Apo kwenye kutoa kuanzia shs ngap???
Huu ndiyo "mpapaso" hasa,acha wa watoto wa masau bwire! Tutapapaswa na kupakatwa sawia!Habari za miangaiko wadau,
Ngoja nijikite moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Leo katika pitapita zangu nikakutana na hii inshu ya gharama mpya za kutoa pesa na ada ya mwaka ya kwenye a/c ya Nmb zimeongezeka. Binafsi sijapata ujumbe wowote kama walivyofanya mitandao ya simu kutujuza ongezeko hilo.
Hivyo basi tungeomba japo kujulishwa tu hata kwa taarifa. Ama kweli hii ndo mikakati yakutufanya tuhamie burundi. Naomba kuwasilishaView attachment 1901910
Habari za miangaiko wadau,

Nchi ya Tozo hii, bandari wanakuja na tozo yao wanasema itakuwa rafikiTozo Tozo Tozo
Tozoooooo
Finally watakuja na tozo ya kumiliki dimpoz, gegedeo, kalio, oxygen.Tozoooooo
Mama anaupiga Mwingi,Habari za miangaiko wadau,