Recent content by St evance

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Kwani mtafanyaje au w tz mlishaweza lipi zaidi ya majungu?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa Sombetini wamtafuna Godbless Lema

    Mimi ni mwana cdm kitendo cha lema sio kibaya kama ameona anafaa mwacheni ampigie situnajenga nchi moja? au?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva beat - FL STUDIO

    Vinanda havisikiki vizuri
  4. S

    JamiiForums Tanzania Maiti Akutwa na Kete 65 za dawa za Kulevya mkoani Mbeya...

    Kama usipo pambana kuiondoa ccm utakufa tu kwa kukosa ajira na kama ukipambana nayo utakufa kwa risasi TAFAKARI MY TAKE:hayo yote yanachangiwa kwa ukosefu wa ajira thats y vigogo wengi wanatumia udhaifu wa ccm na wanawatumia vijana kudeal na unga.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni lini Raisi Kikwete alifanya kazi private sector?

    Wadau nimejiuliza hiloswali hapo juu baada ya kuona wimbi kubwa la privatization(sekta binafsi chini ya serikali yake) ninaposema sekta binafsi namaanisha makampuni binafsi au mashirika binafsi naombeni mnifahamishe zaidi kuhusu hilo swali hapo juu.
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    sio kama napenda urahisi ila mi nnachotaka kama unampenda mtu just be real.
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    unataka kuniambia mwanamke akikupenda anakua ----- tu kilakitu NDIYO.
  8. S

    JamiiForums Tanzania M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

    Jw wajipange
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    sifanyikaz m-pesa,wala maxmalipo kama ndohivyo bora nikimbie.
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    rudi kwenye mada mkuu uponje ya mada coz hakuna aliyesema anataka majibu yakuambiwa hapa hizo nihisia zako mkuu.
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    utachapaje lapa kirahisirahisi je kama ndo anakupima je?.
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    yakweleli hayo?
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    Just ask your self
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    Mhhh!Ntahakikisha.
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    Habari zenu wakuu..... na baada ya salam leo nataka tujadiliane mbinu sahii za kukabiliana na vikwazo vya kinadada kama vifuatavyo 1.Niko kwenye period 2.ninaboy friend/mume/mchumba 3.Ninaumwa(malaria/tumbo/kichwa) 4.mama yangu mgonjwa 5.Niko bize 6.Nimeokoka nampenda yesu 7.wiki...
Back
Top Bottom