Bongo fleva beat - FL STUDIO

Bongo fleva beat - FL STUDIO

Vinanda havisikiki vizuri

Hilo sio tatizo kwa sababu hiyo still ni Demo version (haijafanyiwa Mixing)..
Mixing ni kitendo cha kulinganisha sauti na kudecide upande upi wa sikio instrument husika isikike (Volume adjustment & Panning). Pia ni session ya kufanya equalization, stereo separation, delay compensation, automation na kuweka effects (Terms zimekaa ki'technical zaidi lakini kwa aliye na idea anaelewa)

So katika stage aliyopo ni kuhakikisha tu 'Scaling' yake imekaa vizuri, steps zitakazofuata (Mixing & Mastering) hatakama hatokuwa na ujuzi nazo wapo specialized sound/music engineers wanaweza kumalizia kazi yake.
 
Dah unajua kijana...mi mwenyewe naangaika ila napata zero archievement...inabidi nikuone unipe tuitorial
 
nimempa mdogo wangu anaingiza vocal sahivi, akimaliza ntaiedit na kukurudishia beat yako ufurahie matunda yako
 
Ok Soon Ntaweka Beat Yang Pia Coz Hata MM huwa Nachezea fl, cubase, acidic na garrage band....
 
yap bado sijapata vifaa vizuri vya kufanyia mixing

Pole pole mkuu, utafika. By the way napenda sana nijifunze kutumia hiyo FL studio, una manula ayake ama tutorial zake? Ninayo hiyo software.
 
yap nnazo ila huwa nazipata kwenye youtube zipo za kutosha tu!
 
Hilo sio tatizo kwa sababu hiyo still ni Demo version (haijafanyiwa Mixing)..
Mixing ni kitendo cha kulinganisha sauti na kudecide upande upi wa sikio instrument husika isikike (Volume adjustment & Panning). Pia ni session ya kufanya equalization, stereo separation, delay compensation, automation na kuweka effects (Terms zimekaa ki'technical zaidi lakini kwa aliye na idea anaelewa)

So katika stage aliyopo ni kuhakikisha tu 'Scaling' yake imekaa vizuri, steps zitakazofuata (Mixing & Mastering) hatakama hatokuwa na ujuzi nazo wapo specialized sound/music engineers wanaweza kumalizia kazi yake.

vp wwe uko poa kwenye mastering?? pia na upande wa vocal una idea mkuu
 
Back
Top Bottom