- Thread starter
- #21
Ww ulitaka ujibiweje, kama unataka urahic hvy nenda kmboka utaulizwa tu unataka huduma gan.
sio kama napenda urahisi ila mi nnachotaka kama unampenda mtu just be real.
Ww ulitaka ujibiweje, kama unataka urahic hvy nenda kmboka utaulizwa tu unataka huduma gan.
rudi kwenye mada mkuu uponje ya mada coz hakuna aliyesema anataka majibu yakuambiwa hapa hizo nihisia zako mkuu.
Easy....
mambo matano ya kufanya demu akupende:
1. mpe hela
2. we mpe hela
3. we mpe hela tu
4. mpe hela tu
5. nakuambia mpe hela tu mwenyewe atakupenda
Habari zenu wakuu..... na baada ya salam leo nataka tujadiliane mbinu sahii za kukabiliana na vikwazo vya kinadada kama vifuatavyo
1.Niko kwenye period
2.ninaboy friend/mume/mchumba
3.Ninaumwa(malaria/tumbo/kichwa)
4.mama yangu mgonjwa
5.Niko bize
6.Nimeokoka nampenda yesu
7.wiki hii ninatest(kwa wanavyuo)
8.Mi sitaki mambo hayo mpaka nimalize masomo nipate na kazi
9.Mi bado mdogo
10.sitaki
11.nyumbani kwetu geti kali siwez kutoka
12.ww sio mwanaume wa type yangu(mfupi sana/mweusi sana/mweupe sana)
13.mimi sitaki /siongei na watu nisiowajua
14.Sijisikii kuwa na ww/sikupendi!
Bora tu ukimbie ndugu make "I love u" zishapitwa na wakati
Easy....
mambo matano ya kufanya demu akupende:
1. mpe hela
2. we mpe hela
3. we mpe hela tu
4. mpe hela tu
5. nakuambia mpe hela tu mwenyewe atakupenda
tafuta hela au kaazime gari ya ndugu yako, ukishindwa chapa lapa
vipi ban ilikuwa poa eeee, acha upotoshaji wewe, we unawadanganya wenzio, u preach what you don't practice!!!
Ha ha ha haaaa Evenly Salt umeniacha hoi leo. Binafsi ni kweli, sijui ni vile tumezoea kupewa?? au ni inborn, sijui kwa kweli.
Hata mimi nilikuwaga najipambanua sana eti sina shida na hela ya mwanaume kipindi nilipokuwa sijawahi kupata wa kunipa.
Nilifanya kazi kwa bidii na biashara nipate zangu na nikazipata kweli, nikawa na jeuri sibembelezi mtu au siombi mtu.
Lakini siku nilipata mwanaume mwenye pesa akawa ana ni mpesa, ananifanyia shopping za kufa mtu, analipa bills zote, akanibadilishia na gari niliyokuwa naitumia na blah blah zingine, mbona nilijikuta nikiwa mdogo ka piriton?
Kiburi, ujuaji na the like zillikwisha nikawa namheshimu na kumpenda huezi amini!
Akisema hakuna kutoka natii. akisema usivae hivi natii. Chezea kumilikiwa weye!!
Na wala hana mvuto wowote!! Wenye mvuto nikawatupa kuleee!!!