Recent content by ss3

  1. S

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya anakaribia kuwa jipu...

    Taulo la gesti halikaushi maji mwelini. Well said
  2. S

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watumishi hewa kwa kila mkoa Tanzania

    Hata wewe unayeandika hapa inawezekana ni mtumishi hewa. Kama inakaa nyumbani alafu Baba anakupa hela ya kula na mahali pa kulala wewe ni mtumishi hewa sema Baba yako hajakutumbua tuu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watumishi hewa kwa kila mkoa Tanzania

    Mtumishi hewa ni nani?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Meya Dar: Isaya C. Mwita(CHADEMA) aibuka mshindi

    Lowassa ameshawasilisha silaha yake kwa makonda
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Chuo kikuu kipya cha Mwalimu Nyerere-Butiama-

    Not always the case
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli usiwasahau vijana wafuatao

    Asimsahau pia Daniel Zenda
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga simu Clouds TV na kuwapongeza kwa kipindi cha Clouds 360

    Hali mbaya Manchester city
  8. S

    JamiiForums Tanzania Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

    Asset or liability
  9. S

    JamiiForums Tanzania Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

    Namkumbuka sana Dr Slaa. Was mapachu an asset to liability???
  10. S

    JamiiForums Tanzania Erolink mlipe malimbikizo kwa wafanyakazi wote mliowahujumu.

    Kwa muda mrefu sasa hii kampuni inayojiita Erolink recruitment agency imekuwa ikiuza kazi kwa bei Nafuu baada ya kuzinunua kwa bei ghali. Inanunua kazi ya Vodacom customer care kwa tsh 861,000/= inaiuza kwa tsh 246,000/=. Kutokana na ugumu wa kazi basi watanzania watoto wa masikini wananunua...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Yeye hausiki na kashfa ya crdb kuajiri wachaga tuu??? Naomba jibu
  12. S

    JamiiForums Tanzania January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    Januari kama mtoto tu uwaziri 2030 kama Mungu atamweka
  13. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Bakhresa Group kuhusiana na Upotevu wa Makontena

    Msumeno wa hapa kazi tu unakata kotekote. Naamini bakhresa wamehusika na watawajibika
  14. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

    Wewe funga domo lako mpuuzi wewe. Pale haxina unafikiri alienda kuuza sura??? Si muda wa kuuliza maswali ya hovyo. Acha tingatinga lifanye kazi yake
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kweli huyu ndiye rais niliyemsubiri kwa miaka mingi sana. Sikuhizi yule jamaa yangu aliyekuwa anafanya kazi pale halmashauri ya manispaa ya kinondoni simuoni tena. Yaani yeye alikuwa anatembepea maeneo mawili tu. Kwenye ATM na BAR. Anajifanya eti yuko serikalini ndo maana hafanyi kazi. Na kama...
Back
Top Bottom