Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

Swali hilo hilo ligeuzie kwa Ukawa utapata jibu tena sy mpaka form 4 mpaka chuo kikuu.
UKAWA hawaendeshi nchi. Tunataka wale walioshika hatamu. Tutahoji mpaka mwisho. Nchi kuendeshwa kwa matakwa ya viongozi au waamuzi wachache wakati wake umekwishwa. Hivi aliongea na wadau wa elimu juu ya hili? Halafu ni kweli kipaumbele ilikuwa ada ya sekondari?
 
ame dist111 rolandi babum hoja kuu hapa siyo wapi zitoka hizo hela bali mfumo wa kiserikali (kama utafuatwa) fedha zote zinazotumika zinatakiwa ziwe zimepitishwa na bunge wakati wa kikao chake cha bajeti. Sasa kwenye bunge la bajeti lililopita lilipitisha na bajeti hiyo
ya kulipia ada wanafunzi watakao kuwa wanaingia kidato cha kwanza?

punguza ugando wa mawazo...bajeti iliyopitishwa ilikuwa ya serikali ya ccm...sasahivi tuna serikali ya magufuli...tutapitisha bajeti mpya hiyo ya ccm tupa kuleee....
 
eti na zile zetu za training abroad pia wamefuta?

Zile hapana. Hizi ni za makatibu wakuu ambao baadla ya hizo kazi zifanywe na mabalozi wanatuwakilisha wanaenda kuzifanya wao. Sasa nini maana ya balozi.
 
Atachukua kutoka katika fungu la safari za rais kwani safari za nje zimefutwa.
 
UKAWA hawaendeshi nchi. Tunataka wale walioshika hatamu. Tutahoji mpaka mwisho. Nchi kuendeshwa kwa matakwa ya viongozi au waamuzi wachache wakati wake umekwishwa. Hivi aliongea na wadau wa elimu juu ya hili? Halafu ni kweli kipaumbele ilikuwa ada ya sekondari?

Wewe upo dunia gani??
 
Ame dist111 Rolandi BabuM hoja kuu hapa siyo wapi zitoka hizo hela bali mfumo wa kiserikali (Kama utafuatwa) fedha zote zinazotumika zinatakiwa ziwe zimepitishwa na Bunge wakati wa kikao chake cha Bajeti. Sasa kwenye Bunge la bajeti lililopita lilipitisha na bajeti hiyo ya kulipia ada wanafunzi watakao kuwa wanaingia kidato cha kwanza?

Mkuu Allen Kilewella,halafu hawa watu eti nao ni wasomi na ni great thinkers!
Kwa nini mtu unakurupuka kuandika kabla hujaelewa nini kinachoongelewa?
Elimu
Elimu
Elimu
 
Last edited by a moderator:
Hukuwa na sababu ya kutumia technical terms. Unaleta dhana ya substitution effect, una substitute nini? Halafu unasema absolute increaments, wakati kuna deficit na debts na pia kuna uncertainty ya hali ya kisiasa visiwani. How do you factor political risks. Tuache lelema, tunaangalia maneno ya kufuta ada bila uhalisia wa mpango endelevu ni kuongeza budget deficit kwa maneno ya kisiasa yasiyo na tija. Hakuna sababu ya kukurupuka.

Ukishakuwa na majibu yako tayari usilazimishe mtu kuya underline; hakuna siku resources zitatosha scarcity ndiyo major atribute ya resource sasa we kaa ukijua kuwa hakuna kusichowezekana chini ya jua na kama kwako ni vigumu ku comprehend how should this be basi ujue kuna watanzania kwenye profession zao na wengine kwa charisma yao wana majibu wakipewa nafasi.

sorry for being so hard to you, tusipotoshe vitu!

Sisi tutoe benefit of doubt kwa Rais kwakua katoa ahadi na
amesha state kwamba anaitekeleza kuanzia Jan 2016; asipo tekeleza ndiyo tuje na swali la kuuliza. Kama unaogopa priority zako zinapingana na zake hilo tatizo lako so far kipaumbele chake ni hiyo ahadi aliyoitoa na vingine jinsi atakavyotoa mwelekeo wake siku atakapo hutubia Bunge kama alivyokwisha kusema.

Time and patience will do us better!
 
Mh Rais umetutangazia kuwa elimu itakuwa bure kuanzia January 2016. Lakini hujatueleza kuwa pesa hizo za elimu zinatoka sehemu gani katika bajeti yetu na ukizingatia Bunge lilishapitisha bajeti yetu. Je, zinapunguza pesa kutoka afya? Miundombinu au wapi? Ni kweli umetoa ahadi nyingi za katika ilani ya CCM lakini utekelezaji wa "hapa kazi tu" bila mipango unaweza kuyumbisha maeneo mengine muhimu ya serikali.
Tafadhali angalia usikwame mapema kama vikao vya Ngurudoto.

Pesa ngapi?
 
Mjomba yenu Mamvi Lowasa alipokuwa anawaingiza chaka kwamba elimu mpaka chuo kikuu bure mbona hamkuwahi kumuuliza hizo pesa atazitoa wapi?
Mwacheni Hon President afanye yake.

wakati edo anawadanganya walijiondoa ufahamu wakajifanya mahaba niue kwa edo..hayo ndo yalikuwa maswali ya kumuuliza edo siyo magufuli
 
Nafurah sana baadhi ya watu wanaanza kuhoji kuwa pesa atapata wapi.kipindi lowasa anawadanganya elimu bure hadi chuo kikuu walijifanya wamepoteza ufahamu na wakajifanya wana mizuka ya kishetani na mahaba niue kwa lowasa.
Majibu ya wap pesa atapata mngemuuliza rafiki wa bodaboda na mamantilie.
 
Ukishakuwa na majibu yako tayari usilazimishe mtu kuya underline; hakuna siku resources zitatosha scarcity ndiyo major atribute ya resource sasa we kaa ukijua kuwa hakuna kusichowezekana chini ya jua na kama kwako ni vigumu ku comprehend how should this be basi ujue kuna watanzania kwenye profession zao na wengine kwa charisma yao wana majibu wakipewa nafasi.

sorry for being so hard to you, tusipotoshe vitu!

Sisi tutoe benefit of doubt kwa Rais kwakua katoa ahadi na
amesha state kwamba anaitekeleza kuanzia Jan 2016; asipo tekeleza ndiyo tuje na swali la kuuliza. Kama unaogopa priority zako zinapingana na zake hilo tatizo lako so far kipaumbele chake ni hiyo ahadi aliyoitoa na vingine jinsi atakavyotoa mwelekeo wake siku atakapo hutubia Bunge kama alivyokwisha kusema.

Time and patience will do us better!
Huu mpango wa hakuna kisichowezekana bila taratibu ndio uvurugaji. Kuna Rais mstaafu alijitahidi kutimiza ahadi za ujenzi wa barabara akakopa na mpaka sasa miradi mingi imesimama. Haya madeni si ya kwake bali ni ya nchi. Utekelezaji wa ahadi bila maelezo na uwazi si sifa ya nchi ya kidemokrasia. Suala la time ndio linalozungumziwa hapa ni lile la mipango ya msingi na si kukurupuka
 
Tusiongee kinadharia hapa, aseme gharama ya shule zote za serikali ni kiasi gani na kiasi anachotarajia kupata ni kiasi gani kutokana na kubana matumizi. Kufanya kazi kwa headlines hakutatusaidia.

Salute Kwako Mkuu!
 
Nafurah sana baadhi ya watu wanaanza kuhoji kuwa pesa atapata wapi.kipindi lowasa anawadanganya elimu bure hadi chuo kikuu walijifanya wamepoteza ufahamu na wakajifanya wana mizuka ya kishetani na mahaba niue kwa lowasa.
Majibu ya wap pesa atapata mngemuuliza rafiki wa bodaboda na mamantilie.

jamani pesa za kata utekelezaji lin?
 
Ukishakuwa na majibu yako tayari usilazimishe mtu kuya underline; hakuna siku resources zitatosha scarcity ndiyo major atribute ya resource sasa we kaa ukijua kuwa hakuna kusichowezekana chini ya jua na kama kwako ni vigumu ku comprehend how should this be basi ujue kuna watanzania kwenye profession zao na wengine kwa charisma yao wana majibu wakipewa nafasi.

sorry for being so hard to you, tusipotoshe vitu!

Sisi tutoe benefit of doubt kwa Rais kwakua katoa ahadi na
amesha state kwamba anaitekeleza kuanzia Jan 2016; asipo tekeleza ndiyo tuje na swali la kuuliza. Kama unaogopa priority zako zinapingana na zake hilo tatizo lako so far kipaumbele chake ni hiyo ahadi aliyoitoa na vingine jinsi atakavyotoa mwelekeo wake siku atakapo hutubia Bunge kama alivyokwisha kusema.

Time and patience will do us better!

Well said.
 
Elimu bure inawezekana hata mgombea wa Ukawa aliliona hilo kuwa linawezekana!
Nchi hii kuna miji hela mingi sana sema usimamizi tu kuwabana hawa wajanja na wezi wanao kula fedha za serikali kwa kujinufaisha waooo
 
Wewe funga domo lako mpuuzi wewe. Pale haxina unafikiri alienda kuuza sura??? Si muda wa kuuliza maswali ya hovyo. Acha tingatinga lifanye kazi yake
 
Back
Top Bottom