Masoud Kipanya anakaribia kuwa jipu...

Masoud Kipanya anakaribia kuwa jipu...

Wakuu,kwa Muda mrefu toka Mh Rais JPM ashike usukani nimekuwa nikifuatilia vibonzo vya Masoud Kipanya ambavyo 99% hua vinakosoa Utendaji wa Mh,.Nionavyo mm si muda mrefu Oparesheni Itamhusu...
029e81a8409f84ea6ab5ee7ba7219664.jpg
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, naona umesahau ule usemi usemao...mkuki kwa nguruwe lkn kwa binadamu ni mchungu....anavyochora michoro yake ya kuwakashfu viongozi wa upinzani mnakenua meno na kummwagia misifa ya kijinga huyo huyo kipanya
 
Mimi naona wewe muleta thread ndiyo jipu lililoiva.
 
Waandishi wa habari wanatakiwa waache kulamba viatu vya wana siasa, waige mfano mzuri wa Masoud Kipanya....

Waandishi wengi ni walamba viatu vya wana siasa.
Cc pasco
 
Wakuu,kwa Muda mrefu toka Mh Rais JPM ashike usukani nimekuwa nikifuatilia vibonzo vya Masoud Kipanya ambavyo 99% hua vinakosoa Utendaji wa Mh,.Nionavyo mm si muda mrefu Oparesheni Itamhusu...
029e81a8409f84ea6ab5ee7ba7219664.jpg

...mawazo yako ni jipu lililooza sana....
 
Wakuu,kwa Muda mrefu toka Mh Rais JPM ashike usukani nimekuwa nikifuatilia vibonzo vya Masoud Kipanya ambavyo 99% hua vinakosoa Utendaji wa Mh,.Nionavyo mm si muda mrefu Oparesheni Itamhusu...
029e81a8409f84ea6ab5ee7ba7219664.jpg
Katiba ina mlinda,WEWE NDO JIPU you are trying to manipulate constitutional rights base on freedom of expression right.kipanya he knows what is doing he cant go beyond boundaries.
 
Wakuu,kwa Muda mrefu toka Mh Rais JPM ashike usukani nimekuwa nikifuatilia vibonzo vya Masoud Kipanya ambavyo 99% hua vinakosoa Utendaji wa Mh,.Nionavyo mm si muda mrefu Oparesheni Itamhusu...
029e81a8409f84ea6ab5ee7ba7219664.jpg
hahaaaaaa!

this (from Kipanya) is spot-on.
 
Taulo la gesti halikaushi maji mwelini. Well said
 
Wakuu,kwa Muda mrefu toka Mh Rais JPM ashike usukani nimekuwa nikifuatilia vibonzo vya Masoud Kipanya ambavyo 99% hua vinakosoa Utendaji wa Mh,.Nionavyo mm si muda mrefu Oparesheni Itamhusu...
029e81a8409f84ea6ab5ee7ba7219664.jpg
kwani uyu kipanya alitoka lini ccm nakumbuka alikuwa mdau mzuri wa kumchafua lowasa kipindi cha kampeni
 
Hapa kakosoa bunge..bunge lina uhusiano gani na utendaji wa rais???
Jaribu kufatilia upangwaji wa wajumbe wa kamat na wenyevit wa kamat na tuhuma na lawama zilizotolewa baada ya upangwaji huo halafu connect dots na kinachojiri kwny hizi tuhuma za rushwa km 'unazo' kidogo utaelewa kwa nn serikali inahusika.
 
Anafanya kazi na wala haegemei upande wowote.
 
Wewe uliyeleta hii post ndiye jipu na inawezekana tambazi. Unataka wote tuwe na mawazo sawa hata kwa yale yasiyo na maana? Karne za udikteta zimeshapita na madhala yake welevu twayajua
 
Back
Top Bottom