Asante sana!, mara ya kwanza sikuhudhuria. Hivi kuna haja ya kuomba tena? Ugumu wangu upo hivi: kama interview zitafanyikia Dar basi sitafika kwa mara nyingine, kama kikanda nitahudhuria. Gharama ni kubwa sana kufika dar lakini kikanda mambo poa, wana mambo ya ajabu sana. re advertised ina maana hawajui watu wengine wapo mikoani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.