Recent content by Sprocket

  1. Sprocket

    South Africa: Julius Malema ataka Kiswahili kiwe lugha moja Afrika nzima

    Hakika ni jambo jema sana kutumia KISWAHILI kwani kina wazungumzaji wengi pia.
  2. Sprocket

    MADAWA YA KULEVYA: RC Makonda na Kamanda Sirro waongea na wanahabari

    Kwan wenye pesa wote wanaimba injili? Kaa ukijua nyimbo za injili zinalipa sana na si kweli kwamba wote waimbao injili wana pesa ndefu, vinginevyo nawe kama unataka mkwanja imba quasida nawe utatusua tu.
  3. Sprocket

    Deus Kibamba ni nani?

    Kanisa linaingiaje hapo wewe pimbi muuza kahawa?
  4. Sprocket

    Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

    Labda 1. Mdomo wako unatoa harufu ambayo mwenyewe hujui 2. Labda dashboard ya mdomo wako imejaa minyasi ya ndevu.... Wengine hawapendagi midevu. 3. Demu ana akili kubwa kuliko wewe, anajitambua kwamba kwa kunyonyana ndimu munaweza kuambukizana ugonjwa hatari wa ini yaani hepatitis b.
  5. Sprocket

    Diamond Platnumz kaharibu kwa Davido?

    Mtoa uzi huu sijui kala maharage ya wapi? Itakuwa ni muuza kahawa huyu, anatafuta watu walumbane ili yeye auze kahawa yake.
  6. Sprocket

    Swali kwa TRA: Kuingizwa kwa Magari 651; Dangote amelipia kodi kiasi gani?

    Nenda ofisi za TRA kitengo cha mawasiliano kwa umma, nadhani utapata information hizi zote.
  7. Sprocket

    Sakata la Dangote: Kama ni kuondoka na aondoke tuu

    Baada ya Dangote kuanza uzalishaji bei ya cement ilishuka hadi 11, 500. Kiwanda kimefungwa wiki mbili tu cement imepaa hadi 17, 500, utasemaje kiwanda hakina manufaa..... Think twice
  8. Sprocket

    Lipumba: Aomba haki itendeke, amtaka Seif apokee simu zake!

    Inabidi uwe na moyo wa chuma ili uwe mfuasi wa Lipumba, kwangu naona ni msaliti zaidi ya yuda iskariote, amewahi kukiri kuisaidia sisiem enzi za jk, then ameutosa ukawa ukiwa katikati ya mapambano...... Inabidi uwe na phd ya uzwazwa ili umshabikie huyo jamaa
  9. Sprocket

    Vipi mshahara wa November?

    Hilo ni swali au ni taarifa?
  10. Sprocket

    Ajira za Rais Magufuli zitalitikisa taifa kwa furaha

    Sijui umekula maharage ya wapi!! Are you serious?
  11. Sprocket

    Hivi dini zingine hawaruhusiwi kuchinja?

    Mi nadhani wanaruhusiwa kuchinja, ila ili kujenga mahusiano mema ya kijamii huwaalika ndg zao wa kiislam...
Back
Top Bottom