Umekula maharage ya wap ww?Wapiga dili wameanza kuulizana mshahara Mungu mbariki raisi wangu
Ya shambaniUmekula maharage ya wap ww?
Umeshatoka mkuu we kesho nenda kachukue
Vipi mzee mbishi kaongeza mpunga?.au uhakiki unaendelea?..Umeshatoka mkuu we kesho nenda kachukue
Aongeze wap bado ule ule mkia wa mbuziVipi mzee mbishi kaongeza mpunga?.au uhakiki unaendelea?..
Hilo ni swali au ni taarifa?Jamani vp wadau salio tayari au bado?hali yangu inazidi kuwa mbaya kila kukicha ndg zangu
nilimfuatilia kwa makini lakini sikusikia kauli hiyoMwaka huu hakuna nyongeza ya mishahara, hamkusikiliza kipindi cha dakika 45 itv , kairuki aliweka wazi kuwa mpaka May mwaka tathmini na uhakiki itakua tayari..mishahara, na madaraja mapya
Duuu hatari Sana.Aongeze wap bado ule ule mkia wa mbuzi
We bado tunakuhakikiZamu yangu lini mkuu??