Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,582
- 48,738
DAVIDO WA NIGERIA NA DIAMOND WETU WAPO GABON HUKO .ILA SIJAONA SEHEMU WAMEPIGA PICHA PAMOJA NA SIO JAMBO LA KAWAIDA KWA DIAMOND KUTOKUONESHA MASHAUZI YAKE AKIWA NA WATU KAMA HAO. ZILE SHUTUMA ZA DIMPOZ JUU YA MOND KUWAFIGISU WENZIE ILI ATOKE YEYE ZIMETIMIA KWA DAVIDO AKAMTEMA AU NINI? TEAM MOND WENZANGU HEBU NJOONI TUJADILI HII SIO KAWAIDA KABISAhttps://www.youtube.com/watch?v=1LIX3_vpMng