Mada juu inajieleza naomba mnisaidie flash yangu yenye document muhimu inagoma kufunguka inadai iformatiwe. Sasa Kuna njia mbadala ya kupata nyaraka zangu muhimu
Ni kijana mwenye miaka 30's hivi. Nina elimu ya uzamili. Pia Ni mfanyakaz wa serikali. Ktk maisha nimepitia vitu vingi sana pmoja ya kuwa Ni yatima nimepambna sana lakn nahis sijaandikiwa kuwa mshindi.
1. Nilivyomaliza degrii ya Kwanza tu nikaajiriwa nikaamua kujiendeleza nikapata digrii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.