Vyuo vikuu kudhibitiwa kutoa cheti na stashahada ni sawa?

basiri

Senior Member
Joined
Aug 31, 2018
Posts
172
Reaction score
159
Wakuu Habari za wakati huu nimekutana na headline za magazeti ya leo tarehe 26 January 2020 kuwa TCU kudhibiti vyuo vikuu kutoa certificate na diploma
Binafsi nimependa ili kulinda hadhi ya vyuo vikuu

Mtazamo wako ukoje?
Screenshot_20200126-082706~2.jpeg

mwanabhonga
 
Hizi certificate na diploma si wanasajiri nacte? Na waliosajiriwa nacte Ina maana usajiri umekuwa batili?
 
Hao TCU wanatumika tu na yule bibi, yule bibi target yake ni kile chuo, si unajua kaanza kuwaandama kitambo
Vipo vyuo vikuu wamepunguza udahili wa degree na kuongeza wa diploma nakwenyewe wanaanza kuwasakama
 
Itakao kula kwao ni hao hao watoto wa viongozi serikalini, maana watoto wao wengi ndio vilaza.
 
Ila kiukweli hawa madogo wanaotoka secondary kwenda certificate au diploma kwenye Vyuo vikuu huwa wana characters za ajabu sanaa, utoto uliopitiliza mbaka unajiuliza hapa nichuo kikuu amaa, mi nashauri zitolewe tu waweke kwenye vyuo vya kati.
 
Taasisi ikiitwa University inatakiwa kuwa tu na watu wa Degree basi.

Hao wanaotafuta certification na diploma huwa wanapelekwa college sio University.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kiukweli hawa madogo wanaotoka secondary kwenda certificate au diploma kwenye Vyuo vikuu huwa wana characters za ajabu sanaa, utoto uliopitiliza mbaka unajiuliza hapa nichuo kikuu amaa, mi nashauri zitolewe tu waweke kwenye vyuo vya kati.
Wale wa Mwaka wa Kwanza degree nao kwani wanatoka wapi, siuko huko sekondary.. Umesahau ata wewe ulikuwa ivyoivyo, iyo ni stage tu kwenye maisha kila mtu anaipitia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada hujatutendea haki. Tunabak tunajadili kichwa Cha habri kweli...
 
Nilishawahi kuwa kwenye interview na mtu kamaliza Diploma hajui kutafuta 10% ya 1,000,000.
Yaani nilishangaa sana na ilikuwa nafasi ya uafisa mikopo.
Kabebwa na hr wa kampuni kafikia kwa hr kapewa desa la mtihani kasolve uwongo lakini maana hajui asubuhi kabla ya kuingia nilikaa nae karibu ndo nikaliona na kuanza kumsolvia upya na alikuwa anakariri tu majibu na kujichora mkononi.
Chumba cha usaili nakuta paper lile lile.
Huyo ni Graduate wa Diploma kutoka chuo fulani Mbeya.
Ila kiukweli hawa madogo wanaotoka secondary kwenda certificate au diploma kwenye Vyuo vikuu huwa wana characters za ajabu sanaa, utoto uliopitiliza mbaka unajiuliza hapa nichuo kikuu amaa, mi nashauri zitolewe tu waweke kwenye vyuo vya kati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama bass usiongee sana
Nilishawahi kuwa kwenye interview na mtu kamaliza Diploma hajui kutafuta 10% ya 1,000,000.
Yaani nilishangaa sana na ilikuwa nafasi ya uafisa mikopo.
Kabebwa na hr wa kampuni kafikia kwa hr kapewa desa la mtihani kasolve uwongo lakini maana hajui asubuhi kabla ya kuingia nilikaa nae karibu ndo nikaliona na kuanza kumsolvia upya na alikuwa anakariri tu majibu na kujichora mkononi.
Chumba cha usaili nakuta paper lile lile.
Huyo ni Graduate wa Diploma kutoka chuo fulani Mbeya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishawahi kuwa kwenye interview na mtu kamaliza Diploma hajui kutafuta 10% ya 1,000,000.
Yaani nilishangaa sana na ilikuwa nafasi ya uafisa mikopo.
Kabebwa na hr wa kampuni kafikia kwa hr kapewa desa la mtihani kasolve uwongo lakini maana hajui asubuhi kabla ya kuingia nilikaa nae karibu ndo nikaliona na kuanza kumsolvia upya na alikuwa anakariri tu majibu na kujichora mkononi.
Chumba cha usaili nakuta paper lile lile.
Huyo ni Graduate wa Diploma kutoka chuo fulani Mbeya.

Sent using Jamii Forums mobile app

I see 🤔, mbona majanga hayo.
 
naombeni kujua tofauti ya college na university
 
Back
Top Bottom