Ni kijana mwenye miaka 30's hivi. Nina elimu ya uzamili. Pia Ni mfanyakaz wa serikali. Ktk maisha nimepitia vitu vingi sana pmoja ya kuwa Ni yatima nimepambna sana lakn nahis sijaandikiwa kuwa mshindi.
1. Nilivyomaliza degrii ya Kwanza tu nikaajiriwa nikaamua kujiendeleza nikapata digrii ya pili nikiwa na miaka 26.
2. Nikarud kazin nikapiga kazi Kuna kipindi wenzangu tuliomaliza nao walipandishwa daraja me nikaachwa kuja kuuliza wananambia kuwa nilisahulika.
3. Kuna kipindi niliomba hela ya likizo nikaweka viambatanisho vyote kuja kulipwa nikapewa hela ya kwangu tu kuuliza wakasema walisahau kuangalia viambatanisho.
4.kuna mwaka mke wangu alijifungua watoto wanne watatu wakafariki mmoja tu akabaki...( Najiuliza mbna wengine wanasurive wote kwangu vipi)
5. Nimetuma maombi mengi ya interview na kuitwa interview nyingi tu bado cjafanikiwa. Ila Kuna moja niliitwa nikapanga kwenda Hadi dkika ya mwisho nikaihairisha.. cha ajabu siku ya interview wananipigia uko wapi mbna uliomba kazi na hujafika nikashindwa kujitetea nikakata simu.
Roho iliniuma sana Kwan niliamini ulikuwa wakati was kufanikiwa lkn nikapuuzia.. nafasi zilikuwa mbili na tuliitwa wawili just imagine. Nyingine nafasi nne tumeitwa watano bado nikashindwa kutoboa.
Huwa nakaa najiuliz hivi nitafanikiwa lini... Kumbuka hiz nafasi mshahara wake Ni kuanzia 2.3m Ila nimekaa nikatafakari naona nimeandikiwa kushindwa and that is my destiny na Wala Sina mpango was kuhangaika Tena kuanzia Sasa. Ntabaki tu na ajira yangu hii ya tamisemi.
Sio Kila mtu ameandikiwa kushinda nimeamini hilo