Recent content by spiritual aspirant

  1. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

    Kama umeipata price mama, tuliza mshono sasa .. Tuna stress za kitaaa
  2. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

    Nkikodolea macho pochi yako halafu nna sweat na nko kwenye daladala si utaniona kibaka!?.. mbaya zaidi kwenye dala za kwenda sinza kupitia tandale na nkashukia tandale pale mtaaani kwetu uzuri
  3. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

    Apeche alolo ni kufulia, asa begi la laptop unalosuggest ni 50k na ushee ama nikigalaliza kwa mm mtaalamu wa kupata best price ni 40k... What do u expect!?... Lakini sisi waganga njaa hyo tunachukua kwa 15k kariakoo tena huku kichwani tunawaza kuficha umasikini. Wakishua hawawezi relate...
  4. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

    Vichenchi chenchi hahaaaa
  5. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

    Hater😀😀😀
  6. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

    Hawezi elewa
  7. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

    Tukitembea na bahasha mkononi pia mnatusema kuonekana jobless! Mtu nna bahasha 10 zenye CV natembeza sehemu tofauti tofauti unataka niweke kwenye sandarusi!?.. Wenye gari hua wanaweka tu pale kiti cha kushoto documents zao au PC nk ila mi nilie apeche alolo wataka niweke wapi!?. Hebu mtuache...
  8. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi hupelekea matoz wengi kutembea kama wamejinyea ?

    If u don gerrit then fogery abourrit
  9. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Currently meditating
  10. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania Polisi hawawezi kutafautisha kati ya Watanzania na Wahamiaji haramu?

    Polisi siwakubali hata kidogo kabisaa
  11. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Bia tu... mda huuu2335 hrs
  12. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi Januari umetoka?

    mimi nlikua sijui kua kuna mashine za kukobolea mchele.!! nlizoea kuona wanatwanga tu kwenye kinu mpaka mchele unapatikana.
  13. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania Gari Yako inatumia Mafuta kiasi gani kwa Km 500?

    almanusura niitaje suzuki jimmy yangu na cc 650[emoji16][emoji16][emoji16] mbona ningeumbuka[emoji16][emoji16][emoji16] huu uzi haunifai[emoji16]
  14. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    inaitwa synchronisation... The universe is trying to send u message... pia 11.11 au 1.11 ukiona namba 1 zinafatana hivo sana ni kua you are probably on a right path. katika kujitafuta kufahamu ww ni nani na lengo lako hapa duniani.. hizo hua zinaitwa angel numbers!
  15. spiritual aspirant

    JamiiForums Tanzania Dhahabu: Ufunguo wa maisha ya milele

    bandiko umetumia nguvu nyingi kulifunganisha na dini (ukristo) kwenye package moja..
Back
Top Bottom