Mshahara wa mwezi Januari umetoka?

Mshahara wa mwezi Januari umetoka?

Nakumbuka miaka 17 iliyopita nikiwa mwanachuo CBE mshahara ulikuwa ni laki elf 20.
So bajet yangu haikutakiwa kuzidi elf 2 kwa siku nilikuwa na simu ya torch.
Sikuwahi kuweka vocha means nikiweka vocha nitalala njaa.
Mchana nakula buku usiku buku.
Baada ya miezi 6 wakapandisha mshahara angalau nikaweza ishi na kukopea ada.
 
Leo asubuhi nilichukua mshahara wa mwezi wa kwanza maeneo ya Posta, huwezi kuamini mpaka saa nane nipo city garden umekwisha pyuuu niko na Kadogoo Manka katoka Rombo.
Aaaagh nimecheka Sana, au una vyanzo vingi vya mapato?
Kuna waajiriwa, mshahara wao ni 20% tu ya mapato Yao ya mwezi.
 
no
Aaaagh nimecheka Sana, au una vyanzo vingi vya mapato?
Kuna waajiriwa, mshahara wao ni 20% tu ya mapato Yao ya mwezi.
Hapa nilikuwa natazama simu yangu tarehe 24 itafika lini, nitaua watanikopesha angalau robo mshahara ila Manka simuiti tena, kanakunywa hakasimami kwenda msalani kapo tu.
 
Mwamba naona umechoka kula kabeji, misumari na nguna, sasa imebidi uje JF kuuliza kama miamala tayari.
Ukweli ni kwamba mshahara huenda ukatoka Jumanne.
 
Siku hizi watu mna Raha sana. Nakumbuka mwaka 1967 nikiwa darasa la sita baba alikua mwalimu huko usweken. Kulikua hakuna simu Wala Nini, mwisho wa mwezi ukifika mwalimu mmoja anatumwa kwenda wilayani kuchukua mishahara ya walimu wote. Watu walikua Ni waaminifu sana. Nakumbuka ikiwa zamu ya baba kufuata mishahara town lazima arudi na mikate na mchele.
Sio siku hizi eti kila jioni Ni wali.
Enzi zile hakuna pilau Wala biriani. Ni wali tu halafu Mimi nilikua najua wali hauliwi na kitoweo.
Tulipohamia Kisosora TANGA 1968 Niko la Saba ndio nikaanza kushangaa watu wa mjini eti hawezi kula wali hivi hivi bila samaki au nyama
 
mimi nlikua sijui kua kuna mashine za kukobolea mchele.!! nlizoea kuona wanatwanga tu kwenye kinu mpaka mchele unapatikana.
 
Back
Top Bottom