Recent content by Spike Lee

  1. Spike Lee

    Handaki kubwa lakutwa chini ya nyumba ya Ibada ya Mayahudi Sinagogi huko NEWYORK

    Muhtasari wa tafsiri Mateka wa kirusi katika vita vya pili vya dunia anasimulia Baada ya wajerumani kututeka wakatuamrisha tuchimbe handaki. Kisha wakaletwa mayahudi tukaambiwa tuwazike wakiwa hai nasi tukakataa kata kata. Kisha wakatolewa mayahudi tukaingizwa sisi na hapo wakaambiwa mayahudi...
  2. Spike Lee

    Mkurugenzi mkuu NSSF Prof. Godius Kahyarara, ni wewe ndiyo umeandika haya au kuna fitna ndani yake?

    Head of Marketing & Corporate Communications unajua kazi yake ni nini hapo NSSF au unabisha tu? Hawa ndiyo kazi yao kuhariri.
  3. Spike Lee

    Mkurugenzi mkuu NSSF Prof. Godius Kahyarara, ni wewe ndiyo umeandika haya au kuna fitna ndani yake?

    Sijui unacholalamika ni nini unachosema wala hakina uhusiano na hoja uliyopo. Hivi ujanua lakini hadhi ya Foreword kwenye chapisho? Hao unaowatolea mifano nenda kaangalie machapisho yao kama kuna hali kama hii acheni kutetea ujinga. Taasisi kubwa kama NSSF wanaweza kweli kutoa chapisho kama...
  4. Spike Lee

    Mkurugenzi mkuu NSSF Prof. Godius Kahyarara, ni wewe ndiyo umeandika haya au kuna fitna ndani yake?

    Hoja ni kiingereza cha Prof, au unaona ameandika sahihi? makosa yake yamezungushiwa duara ndiyo hoja.
  5. Spike Lee

    Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya

    Masiku yamepita nimerudi tena kwenye "majilis" kufyonza Ilm.
  6. Spike Lee

    Julius Nyerere akimulezea Abdulwahid Sykes pamoja na wazee wa Dar es Salaam harakati za TANU

    Mzee Mohamed Said, Shukrani sana kwa darasa lako nimejifunza mengi.
  7. Spike Lee

    Kwanini UKAWA hawatangazi mgombea wa URAIS mapema?

    Jamaa katoa angalizo la muhimu siyo vema kumtukana.
  8. Spike Lee

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Mzee Mohamed Said,unatisha daa!!! Nakala kwa Prof Hirji.
  9. Spike Lee

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Najifyonzea Ilm tu bila gharama yeyote Ahsante Dada angu!
  10. Spike Lee

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Maulana Barubaru, Nafyonza Ilm kaka.
  11. Spike Lee

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Yupo sahihi kusema Mau Mau walipigana na Wajerumani. Kweli mapenzi ni upofu. Ahsante sana.
  12. Spike Lee

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Mzee Mohamed Said, shukran nafyonza ilm.
Back
Top Bottom