Mkurugenzi mkuu NSSF Prof. Godius Kahyarara, ni wewe ndiyo umeandika haya au kuna fitna ndani yake?

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,932
32,341
Wanaukumbi.

Sijaongeza kitu nimeiweka hapa ukumbini kama nilivyoikuta kwenye tangazo.
downloadfile-40.jpg
downloadfile-33.jpg
View attachment 426270
downloadfile-32.jpg
 

Attachments

  • downloadfile-32.jpg
    downloadfile-32.jpg
    32.6 KB · Views: 74
Makosa ni kama kuandika Eastern Africa badala ya East Africa.

Baada ya neno "Furthermore" ilitakiwa ifuate koma yaani angeandika "Furthermore,..."Kosa hili dogo pia liko pale alipoandika Arusha Dodoma bila kutengani majina ya mikoa hii miwili kwa kuweka koma yaani "Arusha, Dodoma". Makosa ya kawaida haya hata sisi tunafanya.

Hapo alipoandika "like any" ingependeza zaidi kama angeandika "like any other...".Neno "other" limekosekana hapo.

Hapo "in this phase" nadhani mleta mada alitaka pasomeke "during this phase".

Vile vile hapa alipoandika "on planning..." nadhani mleta mada alitaka pasomeke "in planning..."

Kosa lingine ni kuandika " His excellent the President..." badala ya "His exellency the President..."

Kosa lingine ni kuandika "brand modern new sugar plant" badala ya "brand new modern sugar plant.."

Makosa mengine ni ya kawaida tu kwa mfano kuna mahali alitakiwa kumalizia sentensi yake kwa kuweka koma kabla ya kuanza sentensi nyingine inayosemoke "I feel indebted..." yaani iltakiwa iwe "....,I feel indebted".Hapa ile sentensi nzima iliyotangulia ilitakiwa kutenganishwa na koma na hii sentensi inayosomeka "I feel indebted.....".

Maana yangu ni kuwa, neno "country" lilitakiwa kufuatiwa na koma kabla ya kuanze neno "I".

Matumizi ya "a" panapostahili matumizi ya neno "the" na pia hakutakiwa kuweka neno "a" katikati ya maneno "complex" na "36 storey...".Hiyo "a"katikati ya maneno hayo haikutakiwa kuwepo.

Makosa mengine hata sisi tunayafanya hivyo ni kawaida tu na wala sio issue sana hii ingawa kweli ukisoma unakosa ladha ya lugha nzuri katika hiyo document.
 
Hoja ni kiingereza cha Prof, au unaona ameandika sahihi? makosa yake yamezungushiwa duara ndiyo hoja.
Nimempa task alete hayo makosa hapa!! Au wewe tueleze kama yote yalozungushiwa duara ni makosa na ueleze kwanini ni makosa!!
 
Back
Top Bottom