Mkurugenzi mkuu NSSF Prof. Godius Kahyarara, ni wewe ndiyo umeandika haya au kuna fitna ndani yake?

Wa DAU baada ya miezi mingi hili ndo walilopata la kukosoa. Yaani kazi ipo kweli kweli. Tutegemee mengine toka kwa WADAU maana bado wanaumia sana. Bado roho zao hazijatulia.wanakosoa hata anavyotabasam wanasema anatabasam kma ana wasanifu. Anavyotembea wanasema anatembea taratibu sana. Bas ili mradi hawamtak wanataka arud MDAU WAO.
 
Sina uhakika kama tatizo ni Kiingereza! Mleta mada anaombolezea kitu kingine kabisa!
 
Nakubali kwamba kuna makosa lakini ni machache sana,kuna sehemu nyingi mleta mada amepigia mstari kwasababu hajui kiingereza vizuri.
 
Mhhh, kiingereza kinasumbua sana. Ni vyema tutumie lugha yetu adhimu na mwanana tuliojaaliwa na manani- Kiswahili pale inaposhindikana kuliko kujiaibisha kwa kiingereza cha kuchapia. Kama usomi ni kiingereza mbona Shishi baby anaafadhali!
Imagine huyo ni academic professor and director general of nssf, what is the situation at lower levels?
 
Hoja ni kiingereza cha Prof, au unaona ameandika sahihi? makosa yake yamezungushiwa duara ndiyo hoja.
Watanzania huwa tuna maajabu, yaani huwa tunahangaika na kuangalia kiingereza kimeandikwaje badala ya kuangalia ujumbe uliomo ndani.
Wachina wana kiingereza kibovu kuliko sisi lakini wenzetu hawaangalii mambo ya grammar cha muhimu wanataka kufikisha ujumbe wao. Na ndio kinachowasaidia wanaeleweka na uchumi wao unakimbia. Sisi mtu hawezi kuangalia ujumbe au anaachana kabisa na kusoma kisa kuna matatizo kwenye kuandika.
Huu ni upuuzi ambao hauna maana kumbuka sisi English ni lugha yetu ya pili na tusiwabeze ambao wanashindwa kuandika au kusoma vizuri kwani haina mantiki katika kuendeleza taifa.
 
Sijui unacholalamika ni nini unachosema wala hakina uhusiano na hoja uliyopo.

Hivi ujanua lakini hadhi ya Foreword kwenye chapisho?

Hao unaowatolea mifano nenda kaangalie machapisho yao kama kuna hali kama hii acheni kutetea ujinga.

Taasisi kubwa kama NSSF wanaweza kweli kutoa chapisho kama hilo lenye makosa mengi kiasi hicho hamna wahariri?
 
SASA maajabu yapo wapi? hii mbona ndio zetu ma profesa na madokta, maraisi na wabunge sio ishu wala. sema kama unalengine.
Ndomana Mh.POMBE ameamua ni Kiswanglish kwenda Mmbere
Hatutaki ujinga
 
Sijui unacholalamika ni nini unachosema wala hakina uhusiano na hoja uliyopo.

Hivi ujanua lakini hadhi ya Foreword kwenye chapisho?

Hao unaowatolea mifano nenda kaangalie machapisho yao kama kuna hali kama hii acheni kutetea ujinga.

Taasisi kubwa kama NSSF wanaweza kweli kutoa chapisho kama hilo lenye makosa mengi kiasi hicho hamna wahariri?
Yaani waajiri mhariri ili wakuridhishe wewe kwa kiingereza? Muhimu ujumbe umefika na umeelewa
 
Jaribu kugoogle Eastern Africa wa ni ukanda wa mashariki wa afrika - unaanzia Ethiopia na unashuka chini mpaka Madagascar; if he was into this kind of perspective then hakuna kosa hapo.

Mengine kwenye hoja zako; kama utayaita makosa sidhani sana pamoja na kuja na hizo alternatives lakini original report bado ina fit the bill.
Tetea umbwiga
Hatutaki ujinga
 
Hivi nyie watu, mnajua lakini hadhi ya Foreword kwenye chapisho au jelada la Taasisi? Hapo hakutakiwi kukosewa hata nukta. Ndio maana kuna wahariri wakiwapo wa lugha. Mbali ya hayo makosa ya kiingereza hata uchaguzi wa maneno na lugha iliyotumika ni too shallow kwa level yake.
Kaombe kazi ya uhariri basi,atakuwa hana mhariri secretary wake ndiye aliyekosea
 
Yaani waajiri mhariri ili wakuridhishe wewe kwa kiingereza? Muhimu ujumbe umefika na umeelewa
Head of Marketing & Corporate Communications unajua kazi yake ni nini hapo NSSF au unabisha tu?

Hawa ndiyo kazi yao kuhariri.
 
ukiwakuta ma Dr na Maprofesa wanavyokomalia nukta na koma kwenye dessertations za watu basi itabidi na wao wawe held katika same standard na wanazozikomalia wao kwenye maandishi
 
Back
Top Bottom