Recent content by Spatacas

  1. Spatacas

    JamiiForums Tanzania Watanzania mumerogwa na nani?

    Ukweli huuma.
  2. Spatacas

    JamiiForums Tanzania Kanisa Moravian : mnatudhalilisha!

    Tatizo ni wachungaji wasio na wito. Akili na Mioyo yao iko kqaajili ya maslahi binafsi. Ndo maana usishangae imani za kishirikina sinazungumzwa makanisani. Kanisa lilisha ooteza mwlekeo. Nashukuru ninekulia kwenye kitovu cha kanisa hili Rungwe. I know it well. Kanisa sio viongozi Dini imebaki...
  3. Spatacas

    JamiiForums Tanzania Wanamke wenye matiti makubwa wana mvuto katika mapenzi?

    Utam wa pipi unategemea mate. Kuwa makubwa au madogo sio ishu. Kikubwa wote mnarishika? Mi napenda madogo saa6. Mwingine makubwa. Pia pia sio chakula cha kusema nimewahi onja. Kila mtu na radha yake na namna ya kuyatumia wakati wa majamboz
  4. Spatacas

    JamiiForums Tanzania sex before marrige

    Niambie mpaka ndoa lakini uwe bikira. Nisipo ikuta hijarishi nimetoa mahari. nna ku.....
  5. Spatacas

    JamiiForums Tanzania 'kama ni muislam au mkristo naomba mnijulishe suala hili'

    Yamekawaidishwa mno. Hayana madhara yamekuwa kawida. Nikama mtu anasema Vipi KICHAA WANGU, HUYU NI MCHIZI WANGU, YULE ------ NAMKUBALI SANA. ni kama hivyo. Hayana effect zaidi ya Appreciation. Na mengine mengi.
  6. Spatacas

    JamiiForums Tanzania 'kama ni muislam au mkristo naomba mnijulishe suala hili'

    Yamekawaidishwa mno. Hayana madhara yamekuwa kawida. Nikama mtu anasema Vipi KICHAA WANGU, HUYU NI MCHIZI WANGU, YULE ------ NAMKUBALI SANA. ni kama hivyo. Hayana effect zaidi ya Appreciation.
  7. Spatacas

    JamiiForums Tanzania Kada wa CHADEMA kuiaga SAUT leo

    Tunaanza Kufanya JF kama mjengoni naomba tusije anza tukanana.
  8. Spatacas

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya Boxer kupigwa marufuku

    Sinziga: Nakuunga mkono. Itafika mahari wachina watahitaji wanaume wawa***** Selikali itaruhusu.
  9. Spatacas

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Naibu Waziri watajwa mauaji ya kamanda Liberatus Barlow! Shuhuda ahifadhiwa kwa IGP Mwema...

    Mh! Changaaa. Kwa dr Ulimboka wakasema amejisalimisha alie husika. Sio wageni na hizo mambo. Azungumze hazarani vyombo vya habari si vipo. Huu utamaduni wa kuwaficha waovu utisha lini? Ndo maana sisi wananchi wenye hasila tunachukua sheria mkononi.
  10. Spatacas

    JamiiForums Tanzania Nani Kachora.........?

    Mh!!!!
  11. Spatacas

    JamiiForums Tanzania Nikikushika tu nakukukula kiboga

    Kuona njemba kilombili zilipungua. Kusikiakuliwa kiboga kumi shaa. Mshipa nooma.
  12. Spatacas

    JamiiForums Tanzania Hatimaye rais Kikwete ajiunga na JamiiForum !

    Atauwexa muxki wa humu? Akaribishwe
Back
Top Bottom