TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 873
Habarini wadau, kumekuwepo na habari mkanganyiko kwenye jamii yetu kuwa hizi pikipiki aina ya boxer zitapigwa marufuku kwa kile kinachoelezwa kuwa zinatumika kwenye baadhi ya matukio ya uhalifu tafadhali mwenye taarifa zaidi kuhusiana na hili suala atujuze
kwahio wahalifu wakianza kutumia KAWASAKI/YAMAHA nazo zitapigwa marufuku??!!