Wanamke wenye matiti makubwa wana mvuto katika mapenzi?

mmh kila m2 na anachovutiwa nacho waweza kusema cha nini mwenzako anasema nitakipata lini .....ni mtazamo wangu 2
 
Utam wa pipi unategemea mate. Kuwa makubwa au madogo sio ishu. Kikubwa wote mnarishika? Mi napenda madogo saa6. Mwingine makubwa. Pia pia sio chakula cha kusema nimewahi onja. Kila mtu na radha yake na namna ya kuyatumia wakati wa majamboz
 
Back
Top Bottom