juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Kuuumbee,wewe mkenya ndio umenifungua akili,ndio maana nchi hii inatafunwa kila siku,maana wananchi wake wako bize na "nanihii"..anyway,ngoja niache tu nisije nikapewa za uso manake naona mmekasirika kweli,mkenya katupia missile ikulu kwi kwi kwii!