Kada wa CHADEMA kuiaga SAUT leo

je,cuf,wahariri na wabunge particularly wa ccm na watetezi wa haki za binadam nao ni wana m4c?
Hapa ndo tunakuja kuamini kuwa m4c ni chama makin,cha wanyonge,ukweli na uhakika tukiunge mkono vilivyo.

kukosoa na kusema maovu yanafanywa na ccm sio lazima uwe mwanachama wa chadema. acha ukada wa chama. unajua haya pesa EPA. Kashfa ya Richmund, twiga kupelekwa urabuni, mgodi wa kiwira na maisha magumu kwa sasa. wewe kada wa ccm unasema ni poa tu. wewe unaiifaidi keki ya taifa ndiyo maana unaisifia serikali ya magamba.ujue yana mwisho.
 
Aliyekuwa makamu mkuu wa chuo cha saut na kada wa CHADEMA Padri Kitima ,hii leo anaagwa rasmi kwa misa takatifu,na kumkaribisha mrithi wake padri Mgeni,ambae si rahisi kutabiri endapo atazika kabisa mambo ya siasa na itikadi katika chuo hicho au ataendeleza wembe ule ule .

Wakati wa utumishi wake Kitima amekuwa akiikosoa serikali katika udhaifu wake hasa katika kutatua matatizo ya Watanzania wengi.
Kitima pia atakumbukwa kwa mahubiri yake ambayo kila mara yaliikosoa serikali na kuisahau biblia,na jambo hili liliwafanya vijana wengi chuoni hapa hasa wale mashabiki wa CHADEMA kumshangilia kila mara alipoikosoa serikali.

Je!kuondoka kwake ndio mwisho wa CDM chuoni hapo?na je mrithi wake nae atakuwa ktk mlengo huohuo wa kichadema?hatujui,ila muda utasema.

Viva Dr Kitima. Aliongea facts in such a way alitoa speech ya zaidi ya 3hours but umati ulikuwa tulivu ukitaka aendelee ku deliver!
 
labda useme anautetea UKATOLIKI na si wananchi, nani asiyemjua huyu mzee alivyo na chuki dhidi ya uislam wala hafichi.

Padri hawezi kuupenda wala kuuthamini uislamu kwani waislamu humwita mkristu kafiri. Lazima kafiri amchukie anayemwita kafiri. Lakini pia hakuna shekhe wala imamu anayeupenda ukristu kwani kwa muislam mkristu ni kafiri. Hata mimi nauchukia sana uislamu na natamani ungefutika kabisa Tanzania uislamu umetuletea matatizo sana.
 
Mi nshamaliza kutoa ujumbe hayo mengine ni yenu,mara Mwigulu,uzalendo,kuponda wala kusifia havinihusu,chadema ccm hawanihusu,ila mukusika mwenyewe alideclare kuwa chadema,sasa si kada huyo?au mlitaka niandikeje?Baadhi ya wanachadema mnaamini ubishi ndio siasa hata kama ni wa kipumbavu,sioni cha kubishania hapa zaidi ya kumuombea afya njema jamaa aendelee kupiga kazi huko aendako,au hata awe mgombea binafsi maana kwanza ni padri,acheni ulimbukeni nyie chadema mliocomment hapa mnataka tuwaandikeje ndio muone kuwa hatuna bias?Sabodo ni nani?sasa ikitokea tumuandike humu KADA tutakosea nini?acheni ulimbukeni,siyo kila mtu anaponda kama mlivyo nyie wachache na wajinga!!!Kweli jamaa alikuwa kada tena kwa mazuri,siyo kama baadhi yenu,na sisi wanachuo tunamtambua kama kada,sasa kama wewe unabisha tupe neno mbadala wa kada

una hoja
 
Usijali tutampa cheo tu kwani serikali ijayo ya cdm ni ya kidini an yeye ni padri kwa nn tumnyime uwaziri, atapata mkuu.

Serekali ya kidini? Una akili sawasawa wewe? Hujui kuwa nchi hii haina dini ila ccm inapandikiza udini na kuwabeba waislam? Siasa zako na mawazo yako yapotelee mbali na serekali ijayo.
Nawaomba wacdm wenzangu tuache kufikiria kuchukuwa nchi kwa sasa badala yake tuendeleze m4c kwa bidii ili ienee nchi mzima kabla ya 2015. Hivyo kuwa rahisi kuchukuwa nchi hii, tukumbuke bado sisi ni chama cha upinzani na ni lazima tuonyeshe kwa maneni na matendo kuwa tunastahili kuaminiwa na kupewa dola.
 
Mi nshamaliza kutoa ujumbe hayo mengine ni yenu,mara Mwigulu,uzalendo,kuponda wala kusifia havinihusu,chadema ccm hawanihusu,ila mukusika mwenyewe alideclare kuwa chadema,sasa si kada huyo?au mlitaka niandikeje?Baadhi ya wanachadema mnaamini ubishi ndio siasa hata kama ni wa kipumbavu,sioni cha kubishania hapa zaidi ya kumuombea afya njema jamaa aendelee kupiga kazi huko aendako,au hata awe mgombea binafsi maana kwanza ni padri,acheni ulimbukeni nyie chadema mliocomment hapa mnataka tuwaandikeje ndio muone kuwa hatuna bias?Sabodo ni nani?sasa ikitokea tumuandike humu KADA tutakosea nini?acheni ulimbukeni,siyo kila mtu anaponda kama mlivyo nyie wachache na wajinga!!!Kweli jamaa alikuwa kada tena kwa mazuri,siyo kama baadhi yenu,na sisi wanachuo tunamtambua kama kada,sasa kama wewe unabisha tupe neno mbadala wa kada

Maneno yako, yanaonyesha fikira zako. Wewe ni ccm na bila shaka ni mmoja wanaolipwa bk7 pale Lumumba kwa kupost hapa JF. Endelea kushabikia unayoshabikia, siku utakapogundua kuwa hujaitendea haki nchi hii kwa kutetea sumu ya nchi yetu; utajuta.
 
Back
Top Bottom