Recent content by Source07

 1. Source07

  Njia ipi ya Mpango wa uzazi ni bora kwa wanandoa?

  Njia Ni Moja tu mkuu iliyosalama kabisa isiyo na madhara yoyote nayo nikufata Sunnah ya kuoa mke zaidi ya mmoja..! Basi!.. Hizo njia zilizobaki ni za kuchochea Uzinzi.. Uasherati...Uzinifu Basi..hazina tija zozote
 2. Source07

  Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

  Ok Ni assumption nzuri Sana ...lakin kumbuka hao jamaa wote tayari wanapoint 3 tu Kila mmoja wakiwa wamepoteza mchezo mmoja kwa Kila mtu na kibaya Zaid hivi wanacheza hivyo wanapunguzana point hivyo leo huenda mmoja akawa na point 6 au wakagawana points wakawa na points 4 Kila mmoja...so hata...
 3. Source07

  Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

  Hili haliwezekani mkuu kumbuka VITA na Al Ahly watacheza watakutana hivyo lazima watapunguzana point akishinda Vita Ina maana muarabu hawezi kufikisha poits 12 na kinyume chake pia...hii inampa faida kubwa Simba
 4. Source07

  Chama cha Wamiliki Mabasi (TABOA) kusitisha kutoa huduma kuanzia Jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi kupitia mtandao

  Samahani mkuu naomba kukuuliza... hivi hapo uliposema "18k" hiyo 'k' Ni abbreviation ya Nini...je inasimamia Laki(k)..Elfu na Kama Ni Elfu mbona kwenye Elfu hakuna 'K'..au inamaanisha Kenyan shilling"K"..au inamaanisha Tsh?... naomba kujua "K" Ni ufupisho wa Nini!!na Nini kirefuchake??
 5. Source07

  'Visit Tanzania', Ubunifu mwingine kutoka kwa Barbra Gonzalez

  Hivi wale sportpesa wameenda wapi??au wanaidhamini Simba kwenye ligi kuu tu...? naombeni kujuzwa
 6. Source07

  Maswali ya kujiuliza kabla hujafungua shauri (case) la madai

  Oooh ok sawa sawa Mungu atawafanyia wepesi mtalimaliza Hilo kwasalama
 7. Source07

  Maswali ya kujiuliza kabla hujafungua shauri (case) la madai

  Mkuu mbali na yote ningependa kukujibu tu kwa ufupi kua msingi wa hii case yako Ni case ya Jinai(Criminal case)na case za Jinai zinachukua muda kidogo mpaka kumalizika...kuhusu swala lakua anarepoti tu kila siku hii nikutokana kua case ya Jinai haiwezi kuanzwa kusikilizwa ikiwa Ushahidi juu ya...
 8. Source07

  44 New Vacancies At TUME Ya Utumishi wa Mahakama, January 2021- (Various Posts)

  Hivi wanaposema maombi yapitie kwa Karibu Tawala wa Wilaya ndio inakuaje...je nikupeleka tu barua yako then huyo muhusika anaigonga Kama nimuhuri au inakuaje??msaada wenu Tafadhali wakuu!
 9. Source07

  SEHEMU YA 2: Namna Wazungu walivyotokea duniani

  Mkuu SirChief na wengine wote wanaouliza juu ya hii kauli ya "Sisi'..Nina amini wapo miongoni mwenu Ni wafanya biashara au hata Kama siwafanya biashara lakin mmeshakutana Sana na kauli hii katika biashara mbali mbali mlizoziona zikiwa zimeandikwa..."Tunauza au We are dealing with so and so.." So...
 10. Source07

  Historia ya Noti na Sarafu za Tanzania

  Baada ya kuusoma huu Uzi nikaenda kufumua makabrasha ya mzee wangu...hizi noti zote zipo kuanzia hizo za muingereza za mwishoni mwa miaka60 na kuja mpaka hizo za nyerere kabla ya kubadilishwa na mzee Mkapa.. Inshort hizo fedha (noti)mzee wangu anazo amezihifadhi Ila kwa Sasa sijui zitakua na...
 11. Source07

  Ukweli mchungu: Hutavuka mpaka wa Tanzania bila kupata chanjo ya COVID-19

  Upo sahihi mkuu leo hii nimetoka Fire hapo K/Koo kukata tickets Basi ya kesho ya Nairobi kupitia Tanga Mombasa kampuni ya TAWAQAL nimeshindwa kupata huduma wanasema mpaka niwena CHETI CHA CORONA!...dah Sasa nakitoa wapi nahali halisi yahuku kwetu Tz inajulikana...na ili nikipate hicho...
 12. Source07

  Hassan Rehani Bitchuka: Fundi wa muziki wa dansi, sauti ya kinanda. Yu wapi huyu mtaalam wakuu?

  Bitchuka anaishi Sinza mkuu yupo na mkewe hivyo ukifika pale utaweza kutoa msaada wa moja kwa moja otherwise bado sijapata nafasi yakupata contact zake...Ila yupo nyumbani kwake Sinza na anaumwa huu Ni mwaka wa pili Sasa!... Tumsaidieni huyu legend!
 13. Source07

  Hassan Rehani Bitchuka: Fundi wa muziki wa dansi, sauti ya kinanda. Yu wapi huyu mtaalam wakuu?

  Bitchuka kwasasa yupo nyumbani kwake nimgonjwa anasumbuliwa na presha ya macho jicho lake moja likiwa limeharibika kabisa hivyo anahitaji sana msaada wenu wahali na Mali!
 14. Source07

  Kwa hali hii ya colabo za TZ na Congo naona Diamond anaenda tena kuvunja rekodi yake ya views milioni 10 kwa siku 8

  Wewe mtoa post usilete janja janja hapa yakuzunguka mbuyu...lengo la hii thread yako nikupinga Jamaa kufikisha Viwers10M ndani ya WIKI(7DAYS)...umejaribu kuweka mpaka ushahidi wakihesabu kuthibitisha hilo Kama jamaa hajafikisha idadi ya hiyo kwamuda wasiku hizo Kama inavyoelezwa Bali Ni siku 8...
 15. Source07

  Wa Kenya nisaidieni katika hili lakutuma pesa Tanzania kutoka Safaricom Kenya

  Muongozo mzuri Sana ila sender kule anasema inakataa hivyo tunashindwa kuelewa tunakwama wapi?
Top Bottom