Recent content by Sorrow to Joy

  1. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini madaraja au ujenzi unaofanywa katika maji hufanywa usiku?

    Dehydration is very fast during the day and may cause rapid concrete setting which may ascertain the quality of concrete
  2. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaoipigia CCM kura ni watu wa aina gani?

    Tunajadili mustakabali wa Taifa la viazi vyetu vya leo na baadae. Ukiona hoja ya mwenzio haina mashiko usitukane bali ipinge kwa hoja ili aelewe aungane na wewe. Watu wengi wanadhani kuichukia CCM ni kuwa fundi wa matusi. IQ
  3. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaoipigia CCM kura ni watu wa aina gani?

    Huu mwaka ndo ulikuwa wa kukiangusha chama tawala lakini kwa kitendo cha kuchukua makapi ya ccm na kuyapa nafasi za juu kura yangu haitotumika kwa hili.
  4. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaoipigia CCM kura ni watu wa aina gani?

    Hatuna viongozi au mfumo wa kweli wa kutukomboa. Upinzani ulikuwa kimbilio lakini sana umedhoofu. Kitendo cha kuchukua makada wa chama tawala ndo waje wasaidie kuleta mabadiliko imedhihirisha kuwa hakuna dhamira ya kweli ya kuikomboa Tanzania. Mvinyo ule ule chupa tofauti. Kwishney
  5. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania DSTV wapandisha bei

    Bora kuhamia Azam
  6. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    Mwenye Marafiki anahusika na 400M
  7. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Unakumbuka Nyerere alikomtoa Mkapa? Walikuwepo pia walioamini ndo mwisho wa CCM. Unakumbuka Mkapa alikomtoa JK huku Sumaye akibwagwa? Walikuwepo pia walioamini kuwa ndo mwisho wa CCM. Basi na Premier Magufuli atatoboa na CCM itaendelea kuwepo. Wewe uliwekeza akili zako kwa Lowassa ukiambiwa...
  8. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Planted
  9. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

    Mshahara na mbunge tu
  10. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Kila Mkuu wa Wilaya afanye haya, mtaona mabadiliko

    Kwa bajeti ipi? Kazi za umma watu hawakurupuki kutoka machakani. Kila kitu kina utaratibu. So wakurugenzi wasinunue madawa wakuchongee hizo mbao?
  11. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

    Is Bsc.Eng = BEng?
  12. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Kova: Ole wenu wafuasi wa Gwajima

    Na wa dundee tu
  13. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Majina ya vijiji vyetu

    MH!!!!!!
  14. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Majina ya vijiji vyetu

    Kongo kuna mtaa unaitwa Pumbu (Avenue Pumbu)
  15. Sorrow to Joy

    JamiiForums Tanzania Majina ya vijiji vyetu

    Iborogero Igunga Tabora
Back
Top Bottom