Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

Hebu tuendelee kusaidiana kwa kutumia uzoefu wa EPA, na kama pesa zilitoka CRDB hebu tutoe mwanga kwa TAKUKURU ili wakishidwa sote tujue.
Zilitoka account ya nani na waliwezaje kutoa kiasi kikubwa kama hiki katika cash badala ya transfer!?
...na hapo ndipo tuanze kuona uzoefu wa viroba na sandarusi zilizobeba pesa za Stanibic.
R.I.P Mwalimu ...viva UKAWA
 
Wakati anaelezea huyo dereva tax huo upuuzi wake, nikijiwazia nilivyo na taabu ya hela , nikaona kaupenyo kalivyokuwa wazi , tena hela zilizokuwa zimeandakuwa kuwaunguza watanzania
Kuna chozi zito kama nchirizi Wa asali ulinitoka , loooh jamaa atakuwa masikini nileleeee

Akili za vijana wa Leo kupata hela kirahisirahisi tu!
 
Unakumbuka Nyerere alikomtoa Mkapa? Walikuwepo pia walioamini ndo mwisho wa CCM.
Unakumbuka Mkapa alikomtoa JK huku Sumaye akibwagwa? Walikuwepo pia walioamini kuwa ndo mwisho wa CCM.
Basi na Premier Magufuli atatoboa na CCM itaendelea kuwepo.
Wewe uliwekeza akili zako kwa Lowassa ukiambiwa ndiyo Taifa.
The same hata hao Ukawa wako bado sana hv mtu mwenye hadhi ya uenyekiti wa chama anaweza pigana makofi na mtendaji wa kijiji (VEO)
YOUR BEST FRIEND IS YOUR HEAD
 
Nnachosadiki ulikuwa mzigo wa huyu alieingia tano bora wala usimsafishe. Iliturahisishia cc wajumbe wa nec
 
Kumbukumbu zangu zinanipeleka miaka kama mitatu hivi nyuma.

Hivi comred Membe yuko wapi mambo yameanza kuiva ni wakati wake kujitokeza sasa ahesabiwe.
 
hivi vita vya wenyewe kwa wenyewe vinakaribia kuanza tena keshokutwa, this time mzee mamvi kichwani hana hali, i hope mtanange utakuwa kati ya Mwanadiplomasia "Bernard Maembe" Vs "MaguBoy",


Mkiwa mnatafuta mabegi ya kusafirishia vitita mnicheki dukani kwangu 6th road, Dodoma, au mpige 911
 
Back
Top Bottom