Kova: Ole wenu wafuasi wa Gwajima

Kova: Ole wenu wafuasi wa Gwajima

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,333

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova Na Asifiwe George, Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limetoa onyo kwa wafuasi wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ambao leo wamepanga kumsindikiza kiongozi wao kwenda katika mahojiano na jeshi hilo. Hatua ya wafuasi hao kutaka kumsindikiza kiongozi huyo, imekuja baaada ya kutangaziwa kujitokeza kwa wingi wakiwa katika kanisa hilo lilipo Kawe, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.

Chanzo: Mtanzania
 
Leo siku ya kazi waache kazi wakamsindikize kuhojiwa???????Itakua ni wakaa vijiweni!
Na kwanini asindikizwe ???? Mungu pekee anamtosha

Kamanda hawa waumini wakileta ubishi muwapige tu! mana hakuna namna nyingine mana tumechoka sasa
 
Ukivunja sheria za nchi lazima upigwe tu namtapigwa tu huwezi kuleta mambo yako ya saadaka kwenye serekali utapigwa tu
 
Duh sasa wakimsindikiza huyo kova au serikali anapungukiwa Na nini jamani? Ina maana serikali ndo wavunjivu Wa amani eh manake ni kama vile wanatafuta sababu ya policcm kumvunja vunja viungo yeyote atakaye jitokeza kumsindikiza
 
leo wanaenda kumuua kabisa maana siku ile walimkosa kosa
 
Leo siku ya kazi waache kazi wakamsindikize kuhojiwa???????Itakua ni wakaa vijiweni!
Na kwanini asindikizwe ???? Mungu pekee anamtosha

Kamanda hawa waumini wakileta ubishi muwapige tu! mana hakuna namna nyingine mana tumechoka sasa

Gwajima atawalisha..kazini wakafanye nini
 
Na wa dundee tu
leo siku ya kazi waache kazi wakamsindikize kuhojiwa???????itakua ni wakaa vijiweni!
Na kwanini asindikizwe ???? Mungu pekee anamtosha

kamanda hawa waumini wakileta ubishi muwapige tu! Mana hakuna namna nyingine mana tumechoka sasa
 
Huu ni upu,mba.vu na kukos kazi. Kuna athari gani wakimsindikiza ikiwa hawafanyi fujo yoyote?

Kwa nini kama serikali inanguvu isipambane na vitisho vya magaidi badala yake inzidi kujenga uadui na raia? Serikali isje kusahau kwamba Magaidi sehemu zote walipo, wameingia kwa mlango wa uadui wa raia na serikali yao na hivyo kukaribisha magaidi ili kuzikomesha sekali onevu zisizojali maslahi ya taifa, ama kuona hao magaidi wanaweza kuwajali zaidi na kuwasaidia baada ya serikali kushindwa.

Kipindi hiki Kova si cha kuendeleza uadui na raia. Huku mabosi wake wakipiga kelele viongozi wa dini wasaidie kurejesha amani na mshikamano wa taifa, lakini Kova ndipo anazidi kutawanya na kukuza chuki za wananchi dhidi yake na serikali. Nini hiiiii?

Jeshi la polisi lifanye kazi yake kiweredi. Anachokifanya kova,ni dalili za kukosa confidence, kwa kutokuwa na hakika na kile wanachokifanya kwa Gwajiman haivyo kuogopa kujichora.

Kova afahamu, sisi raia tumechoswa na uhasama wa raia na serikali. Kova afanye kazi yake kwa weledi na haki badala ya ubabaishaji anaoendelea nao unaohatarisha maisha ya askari wenzake, kuharibu image ya jeshi la polisi na kuongeza uadui kati ya serikali na watu.

HAPANA KOVA.
 
Wakristo Wanajulikana Hakuna Hata Mmoja Atakaejitokeza Kamanda Wala Usiwe Na Khofu!
 
Hapo Gwajima akisema tu kuwa yeye ni CCM kwisha usumbufu wote
 
Kwa maneno na matendo mihimili ya nchi yetu ni wazi yaitang'oa CCM madarakani
Ongezeko la kuichukia CCM ni kubwa @ siku.
 
Back
Top Bottom