Recent content by soon

  1. S

    Hongera Diamond kwa release ya Utanipenda, umenishika Nifah!

    Je utanipenda by mike tee ft mad ice
  2. S

    Mabasi ya KILENGA ni ya mkubwa gani hapa Tanzania?

    Dah some people desev credit bana hata kama wanayofanya sio sawa
  3. S

    Sababu 10 kwanini biashara yako inahitaji Website sasa

    Mabadiliko ya teknolojia yanayoendelea kwa kasi duniani kila siku yanakuja na gharama yake. ili kwenda nayo sambamba inatupasa kubadili mfumo wetu wa maisha ya kila siku ikiwemo namna tunavyofanya shughuli mbalimbali la sivyo tunajikuta tumeachwa nyuma. jinsi mambo yalivyokuwa miaka kadhaa...
  4. S

    Recover your deleted photos and data

    dah mkubwa backtrack kama tyt hivi bado cjaiweza kaka kama una tutorials help me kaka
  5. S

    Recover your deleted photos and data

    pamoja sana mkuu, vp una wifihacker
  6. S

    Jifunze kuchakachua modem yako

    kaka kuna hizi modem ambazo hazisomi kabisa line tofauti na wala hazitaki unlocking code, mfano tigo mpya, inakuwaje nazo
  7. S

    Website hapa nchini Tanzania.

    its possible bro. i have a very good idea on it, if uko serious n determined tuwasiliane robinmars9@gmail.com
  8. S

    Naomba mbinu za kuweza kuishi chuoni

    dah mi niko udsm hapa, bt sielewi kabisa, nimeckia mengi kuhusu mabibo hostel na niko hapa ila bedo sioni hata moja, nadhani inategemea na mtu, kuhusu gals ikiwa cool they wont bother u, bt ikishoboka nao lazma wakusumbue, unawza ishi vyovyote unavyotaka bila kuathiriwa na mazingira
  9. S

    Naomba msaada kwa WanaUDSM 1st year!!

    kaka mfano mi nipo education. nna mkopo wa 3,172,500 je natakiwa kulipa ada kiasi gani yanu % ada yetu ni miliom moja
  10. S

    Msaada kwa wanachuo

    dogo ntafte kwa email tupo wote hapo ud, firs year too.
  11. S

    Walio apply udzm 2012 soma hapa

    kaka mi nimeapply ud course ya educaation nna point 8 vp hapo
  12. S

    Ina maana hii kozi imejaa??

    dah sa c tutajuaje kaka, we are not tcu members
  13. S

    Jamani selection za TCU ni lini?

    hawa jamaa chenga kweli, hawaaminiki bt naamini within this week mambo yatakuwa mtandaoni
Back
Top Bottom