Jifunze kuchakachua modem yako

Jifunze kuchakachua modem yako

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,378
Leo ntatoa pindi juu ya kuchakachua baadhi ya modem ili sote tuweze kutumia line za network tofauti

1.Download hii software ShareMobile - download dccrap exe

2.chomeka line ambayo sio ya kampuni ya modem ikileta error ya wrong simcard iserted usikate,fungua program uliyodownload

3.fuata maelezo ya picha
 

Attachments

  • mode1.jpg
    mode1.jpg
    107.8 KB · Views: 279
kaka kuna hizi modem ambazo hazisomi kabisa line tofauti na wala hazitaki unlocking code, mfano tigo mpya, inakuwaje nazo
 
Kwa nini tuchakachue?je ni fujo au kunamanufaa ya kufanya hivyo?
 
M nlijarbu ku chakachua huawei flan hv,
cha ajabu ikapotea (ikawa haiwez kuwa detected) kwenye pc,
hzo changamoto mbona hujazsema
NOTE:
Sio modem zote waweza kuCHAKACHUA
 
leo ntatoa pindi juu ya kuchakachua baadhi ya modem ili sote tuweze kutumia line za network tofauti

1.download hii software sharemobile - download dccrap exe

2.chomeka line ambayo sio ya kampuni ya modem ikileta error ya wrong simcard iserted usikate,fungua program uliyodownload

3.fuata maelezo ya picha

mkuu hiyo mbona ni kwa zte tu ndio inakubali.....naomba msaada ya jinsi ya ku unlock huawei ec226 modem
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom