Msaada kwa wanachuo

TihZ

Senior Member
Jul 31, 2012
158
26
Habari wanajamii,naombeni kuuliza eti ni vitu gani vya muhimu natakiwa kuvilipia kabla sijatia pua yangu chuoni....nimechaguliwa University of Dar es salaam,BA with education
 
Dah mzee umeweza kuingia JF unashindwa nn kuingia web ya UDSM? Au wataka tujue umepelekwa huko
 
Hapana ndugu sina maana hiyo mimi natumia simu halafu nimejaribu kuingia web ya chuo inaleta hitilafu na nimeweka hayo maelezo ili niweze kupata msaada ambao nitakuwa nauhitaji sasa itakuwaje pale wa yule Mzumbe akinieleza ya chuo chake...samahani ndugu kama nimekukwaza kwa mada yangu
 
Unatakiwa kulipa direct cost 78000 hivi, malazi watakapokupangia kama 60000, na ada(kama unajidepend). Me 4th yr CoET- UDSM.
 
Hapo cha kitachotakiwa
1. Registration fee
2. Caution money
3. 50% of school fees
 
Hapana ndugu sina maana hiyo mimi natumia simu halafu nimejaribu kuingia web ya chuo inaleta hitilafu na nimeweka hayo maelezo ili niweze kupata msaada ambao nitakuwa nauhitaji sasa itakuwaje pale wa yule Mzumbe akinieleza ya chuo chake...samahani ndugu kama nimekukwaza kwa mada yangu

kama una email niambie nikuforwadie joining medical na registration forms uende ukaprint kwebye intrnet cafe
 
NAOMBA MSAADA WA WESITE YA CHUO CHA COMMUNITY DVT TRAININ INSTITUTE (cdti.ac.co)YAAN UKIFUNGUA THROUGH HIYO NLOANDIKA HAPO HUPAT CHOCHOTE KIPYA NA MARA YA MWISHO WALI UPDATE MWEZ WA SITA KWA ANE JUA PLZ NIPE MSAADA\
 
cdti.ac.tz
 
hivi jamani ile 77400/ kwa ajili ya id,exam fee etc unazilipa kwenye pay in slip moja au? pia kwenye lile jedwali la tuition fee 2012/13 mbona program kama ba of sc in actuarial sc sijaiona naombeni msaada hapo?
 
Back
Top Bottom