Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili.
Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM.
Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29.
Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM?
Au kazi hii inaweza kumgharimu...
Muda aliweka ahueni gani na timu imeshikiliwa dakika zote kuanzia 1st half?
Huyo muda ni moja ya madhaifu makubwa ya Yanga msimu huu kuna wakati Yao alikuwa anaenda kumsaidia eneo lake maana alikuwa hajui hata afanye nini
Duke ana afadhali tu lakini bado hatoshi pale kati, kumbuka hapa nazungumzia mechi za msimu huu zote performance ya kati ni dhoofu. Hakuna mechi unaweza sema eneo la kati limeonesha uhai.
Kadri siku zinavyoenda sehemu ya kiungo ya Yanga inazidi kuwa exposed.
Ni tatizo kubwa la msimu huu na ndio tatizo litafanya tuishie makundi kwenye champions league endapo titafuzu.
Muda, Ngoma, Abuya sio viungo wa kutupeleka popote. Mbaya zaidi wakichemka ndio hakuna kabisa replacement yao...
Tsh 300,000 tu mtu anakuja kupiga umbeya namna hii.
Shule anayosoma mtoto wa Dejembi au Heche sio tu ina ukuta ina mpaka CCTV cameras kutazama usalama wa watoto wao. Na wanalipa sababu wanajua elimu ni gharama.
Wewe endelea kuonesha ujinga wako ukifikiri unaleta malalamiko ya maana.
Kama kichwa kinavyojieleza.
AI imeshakuwa sehemu ya maisha yetu ni either unaijua au ikupite kushoto.
Nataka niwe sehemu ya dunia ya AI japo mimi sio mtaalam wa technology.
Mimi nafanya shughuli za kuajiriwa na freelancing muda mwingine.
Je nikitaka niwe sehemu ya AI nijifunze kitu gani...
Nina wiki sasa siwezi access internet kutumia ruta ya airtel. Nililipia unlimited bundle 70k lakini nimetumia siku moja tu ndio nilibahatika kupata internet.niliongea nao kwa simu sikupewa majibu ya kueleweka naona uko wanaajiri watu wajinga wajinga wa kuokota wa bei chee maana ilibidi nikate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.