Recent content by songambele2012

  1. S

    Udanganyifu wakati wa kununua magari kwenye showrooms

    Hizo documents wanaweza wasikupe wanaficha kama unanunua yard, na wakakutengenezea na kadi ya gari (namba)
  2. S

    Wanaume wa Tanzania wengi ni Maskini. Nimeona kwa jamaa zangu

    Mkuu, amka kumeshakucha. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Wanaume wa Tanzania wengi ni Maskini. Nimeona kwa jamaa zangu

    Mkuu, amka kumeshakucha. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    DStv wanalipisha zaidi ya maramoja kifurushi, kwa mwezi

    Nadhani ungewapigia simu upate maelezo ya kina. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Niliwahi kuwa mkuu wa kitengo cha vinywaji harusini

    Aisee kumbe!!??%$# Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Je, unamjua Mwanamke wa kwanza kupata Shahada Nchini Tanzania?

    Je pia wameweza kutafuta na kujua mwanamke wa kwanza Tanzania Kupata PhD ya Hesabu ni nani? Ingesaidia kutoa inspiration kwa wanawake kuwa inawezekana. Yupo na wakimtafuta watamjua. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Hivi Yokozuna ni kinywaji?

    Nijuavo yokozuna alikuwa ni mcheza Sumo (mieleka ya kijapan). Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    Mondi platinumuz anaelekea kuwa level ya Michael Jackson

    Michael Jackson??? Naamini hujui mafanikio ya Michael Jackson wewe.
  9. S

    Njia mpya za kuongeza pesa za kigeni

    Refund haina shida itarudi na utaipata. Mchangiaji anaongelea kama umeuza kitu nje ya nchi (hata ndani) halafu hela ya manunuzi ije kwa PayPal akaunt yako halafu uitoe. Nadhani hili ndio haliwezekani
  10. S

    50 scholarships for masterprogramme in Embedded and Mobile Systems at Nelson Mandela African Institution of Science and Technology Arusha.

    Unaomba ukiwa na vigezo unapata barua chap halafu unaomba scholarship. Sio lazima uwe umeshaanza. Usikate tamaa kabla hujajaribu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    Hali ya Simba SC ni mbaya sana, Mo Dewji anatapeliwa! Mashabiki tuchukue hatua

    Ungeandika kwa herufi ndogo ingependeza zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Hii kama hizo ila tofauti yake ni kuwa unaweka sehemu unayoenda na kuweka kadirio la bei (kwa uber bei inakuja yenyewe baada ya kuweke sehem uendayo). Baada ya kuweka bei yako wewe abiria, madreva watajitokeza ambao nao wataweka bei zao (wengine zinaweza kufanana na yako au juu zaidi hata chini...
Back
Top Bottom