DStv wanalipisha zaidi ya maramoja kifurushi, kwa mwezi

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Yaani sijui ni wizi planned au ni makosa ya mtandao, mwezi wa tatu nimelipia mara tatu tar 7,tar 17 na tar 25. Na tena leo kimeisha naambiwa nilipie wakati ni kifurushi cha mwezi. Huko nyuma hali haikua hivyo , hivi watumiaji wa dstv hakuna aliwahi kumbana na changamoto kama yangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom