Recent content by Somoche

  1. Somoche

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

    Mahakama ya Maelekezo sio?
  2. Somoche

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Hilda Newton Kumchafua Waziri Mkuu Hakikubaliki Popote Pale Duniani na Hata Mbinguni. Siku Yaja Atakapolipa Gharama yake Kwa Machozi.

    Hata kama ni kweli ile ni faragha ya mtu kwani kuna ubaya gani sisi tunashindwa kuzuia majizi tunahangaika na mtu anafanya ngono tena yawezekana ni fake.....
  3. Somoche

    JamiiForums Tanzania Gaidi aliyetaka kuangusha ndege ya flydubai ni mtu anayeswali muda wote!

    Maswali Nimejiuliza ndege kupomoka toka futi elf 34000 hadi elf 13000 huo ni umbali wa kutisha sana na muda huo haina kiongozi ile ndege halafu tu anasema kwa kuangalia tu Air Crash Invetigation akainua ile stick ikakaa level baada ya hapo nani aliiendesha ile ndege hadi kutua??? kama rubani...
  4. Somoche

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Godbless Lema kujivua nafasi zake zote za uongozi CHADEMA

    Vyote vingapi?? Ujumbe aliteuliwa na Lissu na sasa taarifa ni kwamba anataka awe Mkiti yai awe makamo...
  5. Somoche

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Godbless Lema kujivua nafasi zake zote za uongozi CHADEMA

    Ukishakula hela za watu ni majanga mazito kama ningemshauri Lema angejituliza huko huko siku akienda Chauma au akafata njia ya kwenda CCM ndio amekwisha kabisa atakua kama Yericko au Mbowe na akina john mrema....Wanasiasa wa Tanzania fanyeni biashara ili muwe na nguvu ya uchumi haya mambp ya...
  6. Somoche

    JamiiForums Tanzania Ethiopia na hizi nchi zingine hazifiki 2030 zikiwa nchi moja.

    Afrika ni majinga sana
  7. Somoche

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu. The man, the myth, the legend

    TUNDU LISSU THE Champion...Pengine huyu jamaa ndio kusudi la Mungu tulilolisubiri kubadilisha hii nchi...
  8. Somoche

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Lissu atahukumiwa kwasababu za kisiasa na kwa maelekezo ya watu wabaya katika nchi...Lakini Kisheria na kama kweli kwenye benchi lile Judge angekua Kahwa Rugakingira au Salum Masati au Kisanga hakuna kesi pale...Wangeitupilia mbali kesi ile haraka mnooo... Ila sasa siku hizi hawa watu wanakaa...
  9. Somoche

    JamiiForums Tanzania Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

    Kwanza vita ilipoanza jamaa alishindwa kabisa kukaa pale Kyiv akaruhusu hawa watu kuingia na kujipanga mle ndani..Wote tunajua lengo la hii vita ni kufanikiwa kuisambaratisha Urusi ili utajiri ule ugawannywe hakuna mtu hata mmoja anaipenda ile Ukraine... Ukraine kama nchi imeshaisha sasa...
  10. Somoche

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Polisi ina mapungufu makubwa: Sakata la dereva wa serikali kutoa silaha na kumtishia dereva wa SATCO Dodoma

    Ndugu zetu Polisi mjiangalie ni kweli mnafanya kazi kusaidia Usalama wa watu ila eleweni Dunia imebadilika sana kitendo pekee cha wananchi wote wale kukomaa hadi kumuokoa dereva mjue watu wamechoka kuonewa na wanajua kwamba utekaji na kupoteza watu INATOSHA...hatua inayofuata watu wataanza...
  11. Somoche

    JamiiForums Tanzania Leo Lissu anahitimisha utetezi wake, tumuombee kwa imani zetu, tuachane na 'shekhe' anayeomba binadamu mwenzake afe

    Kesi ya maelekezo inajulikana tangu lini tukawa na Mahakama zinazojielewa hapo Tanganyika??
  12. Somoche

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Bank za Tanzania ni aibu ndio maana haziaminiki sasa account hiyo ina nini cha ajabu?? Hivi kweli nchi hii inavyoibiwa Serikali inahangaika na account ili izushie mtu mashtaka ya uongo hili linawasaidia nini nyie wauaji linasababisha mpendwe na wananchi??
  13. Somoche

    JamiiForums Tanzania Plot for Sale at Mikocheni Migombani/Repoa street

    Hela chafu zimeharibu kabisa hii nchi ...Hizi hela unaenda Newyork nchi tajiri kama ile unanunua nyumba na unabakiza zingine nyingi elewa sio kiwanja unanunua nyumba kabisa tena hapo Manhattan down town unyamani...Ukienda sasa Dubai unanunua nyumba hata 4 unabakiza zingine sasa nchi kama...
  14. Somoche

    JamiiForums Tanzania TRC yafanya kikao chake cha kwanza kuelekea Ujenzi wa Reli ya Mzunguko Dar Es Salaam

    Huyu jamaa amepiga maneno matupu akaishia kutupa taulo kwa kusema ooh Sekta binafsi ichangamkie!!! hakuna kitu hapo..ingekua jembe Magufuli mngeona kazi inapigwa moja kwa moja.... Hii ni bla bla tu hakuna kitu hawa wanaweza kufanya....
Back
Top Bottom