Recent content by Solile

  1. Solile

    JamiiForums Tanzania Ni ipi dawa ya mwanamke gogo ambaye hafanyi kitu mpaka aambiwe

    Yeye mwenyewe unaweza kuta hakufill anavumilia tu
  2. Solile

    JamiiForums Tanzania Shamba la kukodi linatafutwa

    Ikwiriri hekari 25 pako kwenye bonde la maji.
  3. Solile

    JamiiForums Tanzania Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Kaonyesha uwezo wa akili yake inapokomea
  4. Solile

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kigoma (Waha) na uvumilivu wa maisha

    Umesahau kusema pia wana uzazi mwingi hatari. Na wengi wanazaa umri mdogo ndio nilichoona.
  5. Solile

    JamiiForums Tanzania Traffic Police wa Bagamoyo Road wana njaa kali

    BINAFSI JANA MMOJA KANIKAMATA. MAONGEZI MAREFU YA KIJIONGELESHA NIKAWA NIMESHACHOKA NAE NIKAMWAMBIA SIKUELEWI NAOMBA UNIANDIKIE FAINI NIONDOKE MAANA HII NI DAR SIO LAZIMA NIKULIPE HAPA. AKAANZA UNANICHAGHULIA ADHABU YA KUKUPA BASI NIKUFUNGULIE MASHTAKA.
  6. Solile

    JamiiForums Tanzania Lema amgomea Mrisho Gambo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa Hospitali ya mama na mtoto

    Honestly mambo kama hayo ungetegemea kuyaona kwa wadada wa mtaani. Lkn hadi wanaume wenye nyadhifa.....
  7. Solile

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku jogoo na tetea ,ni ideal kwa anayetaka kuendeleza kufuga au kuuza apate faida

    Weka picha hata ya mmoja
  8. Solile

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mtoto wa Celine Kombani amrithi mama yake jimbo la Ulanga

    Cv yake mie nimeingalia hata siielewi. Design hapo kati kwa miaka kadhaa alikuwa amesimama bila maendeleo ya shule wala kazi. Huenda ndio alikuwa anakariri mistari ya bongo flavor anayoiabudu kuliko mashujaa wetu
  9. Solile

    JamiiForums Tanzania Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Wewe na mleta mada mnafanana huelewa . Kwanza kumuacha bila usalama kunaweza kuwa ni risk hata kwa wengine wanaomzunguka. Hii haki mnayoitafuta muwe mnaangalia na background zenu.
  10. Solile

    JamiiForums Tanzania Kama hamtaki nimuoe binti yenu semeni tu, msininyanyase na nimewachoka!

    Hiki tu ulichoandika hapa hakieleweki. Huenda ni sahihi wao kukikisha mtoto wao aangukii kwenye hewa
  11. Solile

    JamiiForums Tanzania Nyumba chanika 28ml

    Weka ile site plan inamaliza maswali yetu yote
  12. Solile

    JamiiForums Tanzania Rushwa kitengo cha Pasipoti haitibiki

    Mkoa gani huo ? Honestly mie sikuwahi kujua mtu hapo... All I did is to follow the process... Na nikapata passport yangu ontime kuliko nilivyotegemea. Hiyo ni hapo makao makuu Dsm
  13. Solile

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Tatizo ni nini ? Au dhumuni lako haswa ni nini?
  14. Solile

    JamiiForums Tanzania Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Kwa kweli huyo mkeo nimempenda, siku nyingine akikupa ushauri usiuseme mbele za watu
  15. Solile

    JamiiForums Tanzania Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Hawa watu, mme mdogo mtu na data wataishi maisha ya shida sana. Namna nzuri ni kuanza maisha yako kivyako . Ndugu mtakutana kwenye sherehe na msiba
Back
Top Bottom